Uchaguzi 2020 Inahitaji juhudi ili kurusu uchaguzi kuendelea

Unafananisha TISS ya nyerere na hawa wahuni wa saivi????

Unadhani kwa nini kina kigogo 2014 wamejitenga ndani ya TISS iyoiyo???
let me tell one thing if TISS ikizubaa hata dakika 2 tu no more taifa la Tz

wape credits zao
 
Na hili ndilo linaloenda kutokea mwaka huu!!! Hata hao polisi watamkana tu!! Utaona huko mbeleni
 
let me tell one thing if TISS ikizubaa hata dakika 2 tu no more taifa la Tz

wape credits zao
TISS nawakubali sana tena sana. Wanaponiuzi tu ni kujiweka Karibu na CCM. Na hapo ndo wanapofeli. TISS wangejiweka mbali na CCM Tanzania tungekuwa Nchi inayoongoza kiuchumi hata bara lote la Africa
 
MKUU ACHA WOGA, HAKUNA KITAKACHOHARIBIKA. UCHAGUZI UTAFANYIKA NA HUYO AMSTERDAM NI SHOGA TU KAMA ALIVYO LISU
 
Katiba inasema wao ni ofisi ya raisi
TISS nawakubali sana tena sana. Wanaponiuzi tu ni kujiweka Karibu na CCM. Na hapo ndo wanapofeli. TISS wangejiweka mbali na CCM Tanzania tungekuwa Nchi inayoongoza kiuchumi hata bara lote la Africa
 
Tumeiweza corona itakuwa hawa mapandikizi ya mabeberu??
 
Relax mkuu naamini huyu mjinga mmoja hawezi kuvuruga amani ya nchi wetu, Naamini inteligency iko stable ivo JPM bado atakuwa mshindi tena kwa kishindo tu
Mpuuzi mmoja hawezi kutusumbua kwa maneno ya kike kike hivo[emoji3][emoji3][emoji3], jpm2025 alafu hii nchi ni huru kwaiyo kutuletea wanayotumwa na mabwana zao kuhubiri chuki sisi haitusumbui wal kutushitua tunawachora tu.
 
Yaani tukifikia hatua ya mgombea mmoja vocal and aggressive kuyatupilia mbali matokeo tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana kama taifa...

2015 nchi iliuzwa asubuhi kwa woga wa Lowassa... Aliifanya Tanzania irudi nyuma miaka mingi sana kabla ya ukoloni...!!

Uchaguzi ukifanyika... Matokeo yakitoka ukahisi umechakachuliwa komaaa... Tena komaa sana... Hakuna mabadiliko yanayoletwa kwenye sinia au hotpot mezani!!
 
Labda chadema ndiyo mmegawanyika kwa tamaa zenu . Lissu siyo threat kabisa ni raia wa kawaida kama wengine na atadhibitiwa kama raia wa kawaida hana speciality yoyote.Uchaguzi utafanyika na ccm anapewa nafasi kubwa kuibuka na ushindi wa kimbunga unaokadiriwa kuwa 95%
 
Uchaguzi utafanyika na ushindi ni mkubwa sana na utavunja record. Upinzani hamjajipanga ni bahati mbaya mmejipanga kutoa vitisho kutwa kuchwa, hizo mbwembwe zenu hamtapata chembe ya nafasi kuonyesha. Huyo mpiga filimbi wa hamerini anawapotezea muda
 
Aise una akili sana hili sikuwahi kulifikiria. Hivi takwimu za sensa watu mika 18+ ni asilomia ngapi

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app

Sensa mara ya mwisho ulikuwa 2012 tulikuwa 52m+, lakini kwa sasa tunakadiriwa kuwa 59.7m. kwa akili ya kawaida kabisa, watu wazima yaani kuanzia miaka 18+, hawawezi kuwa sawa na walio chini ya umri huo. Halafu ajabu ni pale idadi hiyo ya watu wazima wote kuwa wamejiandikisha kupiga kura!
 
Ccm wamedhibitiwa mwaka huu hakuna ujanja ujanja, mshindi apafikane kihalali
 
Yupi mbaya kati ya hao wawili, anayelalamika kuwa mwenzake alitaka kumwua au aliyetoa Wito hadharani kwenye live TV kuwa Lissu auawe? Yupi mchochezi hapo kama Uchochezi ndiyo deal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…