Uchaguzi 2020 Inahitaji juhudi ili kurusu uchaguzi kuendelea

Relax mkuu naamini huyu mjinga mmoja hawezi kuvuruga amani ya nchi wetu, Naamini inteligency iko stable ivo JPM bado atakuwa mshindi tena kwa kishindo tu
Ni kweli ila kwa kauli zake anaonekana hayupo peke yake na walio nyuma yake wanamalengo tofauti na yeye japo yeye mwenyewe hajagundua hilo.
 
let me tell one thing if TISS ikizubaa hata dakika 2 tu no more taifa la Tz

wape credits zao
Wazembe tu. Mbona lissu alipigwa risasi walikuwa wapi? mwaka juzi TISs walienda stanbic kuchukua hela kwenye magunia,
 
Ni kweli ila kwa kauli zake anaonekana hayupo peke yake na walio nyuma yake wanamalengo tofauti na yeye japo yeye mwenyewe hajagundua hilo.
Namkubali lissu anaongea na kuhutubia Kama statesman, baada ya nyerere Lisu ndo statesman
 
Sijaona kauli ya mgombea yeyote hatakubali matokeo. Kama kuna mwenye ushahidi huo auweke hapa tujiridhishe
 
Mnapendana kwa kutwangana risasi nyingi nyingi hivyo?
 
Duniani unaweza kutenda dhulma nyingi sana ila huwa kuna muda, mwenyezi Mungu huondoka na kukuacha kama zile falme za zamani zenye nguvu.

Mnaopata dhamana ya madaraka mnatakiwa kujifunza kwa hilo.

Leo viongozi wa dini hapa Tanzania ndio wamekuwa wanafiki wa kwanza kufumbia macho manyanyaso ya watu
 
Ikiwa nec watasimamia uchaguzi vizuri binafsi sioni njia yoyote inayoweza kuleta machafuko
 
La
Relax mkuu naamini huyu mjinga mmoja hawezi kuvuruga amani ya nchi wetu, Naamini inteligency iko stable ivo JPM bado atakuwa mshindi tena kwa kishindo tu
Labda kwa kuiba kama kawaida yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…