Inahitaji kuwa mjinga na kichaa kilichokubuhu kuendelea kuamini eti CCM italeta maendeleo!

Sasa kama mlimkataa Magu aliekuja na mikakati ya kizalendo mkaona ni Dikteta ,mkaona bora muwe na uhuru wa kuchart na kutukana kwenye mitandao kuliko Maendeleo .Mnataka mletewe mtu wa aina gani ?
Wenye akili walishatoka kwenye ulimwengu wakutegemea mtu.
 
Marekani vinazozana kwa maslahi ya taifa lakini njoo hapa Tanzania kuna watanzania wapo upande wa mtu mweupe siku zote
Haswa Hangaya....kuchwa kutwa yeye kwa wazungu na bakuli lake.

Anampa msagaji mahindi baadae anaenda kumkopa unga.
 
Huo ndio ukweli Mkuu,maadui wakubwa wa nchi hii ni
1.CCM
2.CCM
3.CCM
4.Ukosefu wa Elimu wa Tz,na hii ni kwa sababu ya mfumo mbovu wa Elimu+ ukosefu wa exposure..watz hawatoki,ni Ukerewe- Mwz,Njombe- Mbeya bac
 
Rais anawapaje nauli wkt anajua wanaenda kula bata?
Anamaana kuwa, Rais anatoa hongo ili asighasiwe na wapinzani, anaona bora waende nje awe huru?

Hii si ndo tunasema ccm hafikilii tena mstakabali wa nchi na wananchi?
 
Tatizo sio Chama, tatizo ni wanachama

UCHINA wakomnisti, miaka yoteeee wee, lakini Rais Xi Jinping ndo kaja kuwavusha .

Amini nakuambia, nyota njema huonekanaa Asubuhi.

HAMNA MPINZANI KWA SASA ANAYEWEZ KUTUVUSHA.
Hivi huwa mnajisemea tu au? ya Xi alieingia kipindi cha JK ndo kawavusha China? Xi kakuta inchi ikiwa ya pili nyuma ya Marekani na imeshakuwa tajiri haswa
 
CCM inaua taifa. Lkn hatuchukui hatua yoyote kuiondoa. Imekula kwetu
1992 safari ya mwanza-dar ilichukua siku tatu,1980s kutoka kusini mpaka dar ilikua mateso,1990s mtanzania aliyefanikiwa ni yule aliyemiliki redio kaseti na baiskeli,1990s ukifaulu kwenda sekondari basi utajulikana wilaya nzima,1980s umeme ulikua kwenye taasisi za umma zaidi,hospitali zilikua chache,2000s muhimbili ilikua Kama mabanda ya mbuzi
 
CCM ndiyo chama pekee cha kuweza kuleta maendeleo. Wapinzani huo ni mkusanyiko wa EATERS, yaani ni ‘ASSOCIATION OF EATERS’ ‘AOE’. Tunaamini siku rais Samia akitoka madarakani na kuja rais mwingine wa kuchaguliwa na aliyeandaliwa mwenye uchungu na uzalendo wa Nchi yake Tanzania kila kitu kitakuwa vizuri. Rais Samia kazidiwa na genge la wezi
ccm ni mapumbavu majiz ya kura
 
ccm ni mapumbavu majiz ya kura
Mkuu afadhali CCM, si wewe mwenyewe shahidi alivyokuja Dkt Magufuli nchi iliweza kujinyambulisha kabisa na uwajibikaji pamoja na mikakati ya maendeleo. Sema tu Katiba yetu inapaswa ipunguze mamlaka kwa vyama vya siasa. Yaani iwe hata kama akija rais mwenye uelewa mdogo mambo ya uchumi basi mambo yaendelee
 
Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu.

Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa mapema, na hatimaye akajidhatiti na kuwa JOKA litishalo

Kadiri tatizo linapozidi kuachwa, linazidi kuwa kubwa zaidi. Inawezekana kabisa, ccm Kwa sasa, inataka kufikia kwenye kiwango cha kuitwa JOKA, ni wakati wa kushughurikiwa na kila mtu mwenye akili timamu.

Miaka michache iliyopita, nchi yetu haikuwa na madeni, hii ni baada ya Rais aliyekuwepo kipindi hiko kuomba misamaha ya madeni.

Miaka michache tokea hapo hadi Leo, nchi yetu inadaiwa zaidi ya trillion 90 kiwango ambacho kinatishia ustawi wa maendeleo na radilimali zetu pamoja na nchi yetu Kwa ujumla.

Tumesikia nchi nyingi za Afrika zikifilisiwa na ama kunyanganywa bandari zao na ama viwanja vya ndege, ukisikia mwenzako kanyolewa, na wewe tia maji!

Ccm haiwezi tena kufanya chochote cha ajabu zaidi ya kuipeleka nchi kwenye kufilisiwa kutokana mikopo mingi isiyo na tija!

Nasema haina tija kwa sababu, hakuna uwekezaji wa maana unaofanywa kutokana na mikopo hiyo.

Kwa sasa deni la taifa, inahitaji serikali ikusanye kodi na isifanye chochote ndani ya miaka 3 ili kukamiliasha kulipa deni hilo! Bado unaiamini CCM kwamba inaweza kuleta maendeleo?

Kwa sasa CCM ni sawa na lile JOKA la kwenye Biblia, inahitaji Kwa pamoja tupambane nalo Kwa kufa na kupona, la sivyo, 90℅ ya watanzania, mjiandae kuishi kama digidigi polini ktk aridhi yenu yenye utajiri Mkubwa wa kupindukia!
Watanzania tutaendelea kubaki na CCM kwasababu ndicho chama cha siasa pekee nchini Tanzania chenye maono. Vyama vingine viko wapi? Chadema kwa mfano, hata Ofisi ya Makao Makuu hawana. Watawaleteaje wananchi maendeleo?
 
Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu.

Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa mapema, na hatimaye akajidhatiti na kuwa JOKA litishalo

Kadiri tatizo linapozidi kuachwa, linazidi kuwa kubwa zaidi. Inawezekana kabisa, ccm Kwa sasa, inataka kufikia kwenye kiwango cha kuitwa JOKA, ni wakati wa kushughurikiwa na kila mtu mwenye akili timamu.

Miaka michache iliyopita, nchi yetu haikuwa na madeni, hii ni baada ya Rais aliyekuwepo kipindi hiko kuomba misamaha ya madeni.

Miaka michache tokea hapo hadi Leo, nchi yetu inadaiwa zaidi ya trillion 90 kiwango ambacho kinatishia ustawi wa maendeleo na radilimali zetu pamoja na nchi yetu Kwa ujumla.

Tumesikia nchi nyingi za Afrika zikifilisiwa na ama kunyanganywa bandari zao na ama viwanja vya ndege, ukisikia mwenzako kanyolewa, na wewe tia maji!

Ccm haiwezi tena kufanya chochote cha ajabu zaidi ya kuipeleka nchi kwenye kufilisiwa kutokana mikopo mingi isiyo na tija!

Nasema haina tija kwa sababu, hakuna uwekezaji wa maana unaofanywa kutokana na mikopo hiyo.

Kwa sasa deni la taifa, inahitaji serikali ikusanye kodi na isifanye chochote ndani ya miaka 3 ili kukamiliasha kulipa deni hilo! Bado unaiamini CCM kwamba inaweza kuleta maendeleo?

Kwa sasa CCM ni sawa na lile JOKA la kwenye Biblia, inahitaji Kwa pamoja tupambane nalo Kwa kufa na kupona, la sivyo, 90℅ ya watanzania, mjiandae kuishi kama digidigi polini ktk aridhi yenu yenye utajiri Mkubwa wa kupindukia!
Umesema kweli Sana! Mungu akubariki Sana!
 
Miaka sitini iliyopita hata baba yako balehe bado.
Hujui ulikotoka wala unakokwenda, utajuaje maendeleo ni nini?
 
Miaka sitini iliyopita hata baba yako balehe bado.
Hujui ulikotoka wala unakokwenda, utajuaje maendekeo ni nini?
Umeacha kuheshimiwa siyo? Siku hizi unajilpokea tu kama mtoto wa ccm, baba angu kaingiaje hapo?

Staki nikukosee heshima jidu la mabambasi:
 
Back
Top Bottom