Inahitaji kuwa mjinga na kichaa kilichokubuhu kuendelea kuamini eti CCM italeta maendeleo!

🤣🤣🤣
 
Wajinga nyie endelea kulalamika maana taifa limekuwa la vilaza na mazuzu hili kutwa kutembeza bakuri ughaibuni na mbaya zaidi pesa zote unakwenda kwenye matumbo ya watu.

"Kuna karne itafika kwa wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi nadhani Karne yenyewe ndo hii "Shaaban Robet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…