Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Status
Not open for further replies.
Na chuki yao sio kwenye kazi ni chuki ya mapenzi tu baada ya kuachana na yule dada mwenye takko refu kama Jani la mgomba
Kwa hiyo wanaochukia maendeleo ya kiba ndo wamejificha kwa domo
 
Hawa hapa wasanii na ubalozi wao.
Kiba - tembo.
Madee - dawa ya meno ( jina nimeisahau)
Jide - vistura ( ugonjwa wa akina mama ) n.k
Navy kenzo - Airtel.
Shetta - startimes
Kala jeremaya - Pepsi.
Tunda man - ( ana udhamini nimesahau inajishughulisha na nini)
Joti - tigo.
Harmonize - mazingira.
DIAMOND - Vodacom,DSTV,Cocacola,Samsung, Red Gold.n.k


Labda useme ulitakaje kwa mfano,unadhani makampuni yanaangalia nini hadi yanakupa udhamini ....... yanakanuni zake sio kutukana sana kwa mashabiki wako basi upewe dili haipo hiyo,na ndio utakapojua MNACHOKIONGEA NI TOFAUTI NA KILICHOPO NDANI YA VICHWA VYA WATU HASA MAKAMPUNI MAKUBWA YANAVYOMUANGALIA KWA JICHO LA KIBIASHARA.nyie endeleeni tu na matusi yenu kiba zaidi anajua ila kiuhalisia INAKATAA.
 
sory fistula not vistura samahani lakini
 
Ally Kiba si ambassador wa wanyama jamani mbona hamridhiki
Uwo na wakujitolea tunataka makampuni makubwa Kama airtel tigo au vodacom coz jamaa naamini kwa kile kipaji na ile sauti akitengeneza tangazo litakuwa hit song kqbisa ebu makampuni yamwangalie king wa bongo fkava kwa jicho la tatu
 
ndio hili halina ubishi(labda uwe virus kichwani) diamond ni msanii anayejielewa zaidi ya wote.. pia anafaa kibiashara zaidi because ana fans wengi mpaka abroad.. so brand yako ukimtumia itafika mbali sana tofauti na hao MBULULA wengine



sio kujielewa tu hata muonekano wake ni dili tosha hata mm ningekuwa na kampuni halafu tunahitaj matangazo kwa nn nisimchague? kiba ajifunze hata kupangilia mavazi bado hajajua kujipendezesha kuonakana ki star zaid.
 
sina la kuongezea
 
uwezo na kujielewa ndio kunampa mtu kazi... je ulitaka wampe chid benz, ray c, au m.r nice.. unampa mtu kazi pale anapojua anajielewa ili aweze kuipaisha brand yako..
Apewe giggy money
 
Dangote kiboko yao!! Yy pia n bland kubwa sn africa.
 
Kwasababu huyo msanii mmoja kajitengeneza kutoka mwanamuziki mpaka amekuwa BRAND.....wengine bado sana wamebaki kuwa wasanii kwahio watalipwa na kuchukuliwa kisaniisanii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…