Wapo wengine wanaofaidika kama navykenzo kampuni ya airtel.. Ila kikubwa tasnia bado changa, maana kwa wenzetu kampuni moja inaweza kutoa dili kwa wasanii zaidi ya wanne na malipo mazuri tu..
Afu kuja kwenye suala la mashabiki kusema kiba anamashabiki wengi kuliko diamond upo wrong, maana hata kampuni inapofanya tathmini kumpata ambassador wao lazima watizame vitu vinavyoonekana kuliko maneno maneno, kuanzia na nguvu ya msanii kwenye mitandao ya kijamii idadi ya watu wanaokufuatilia na hakuna hata anaemsogelea diamond
Kiufupi tu, dogo anabidii sana na kazi zake na ni brand kubwa sana... Chukulia mfano dili la Vodacom, katengeneza audio kwenye studio yake, katengeneza video mwenyewe, photoshoot yeye mwenyewe, kampuni iliyoajili watu zaidi ya 25 kwanini usimpe ubalozi huyu mtu??? Na mkataba mnaandikishiana ofisini kwake yeye mwenyewe, ofisi kali mwenyewe ukiingia unatamani iwe yako