Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Status
Not open for further replies.
kwa sababu Diamond hana gharama...anapenda SIFA bila malipo yupo radhi hata afanye tangazo bure ili kuwakomoa wenzie
Ushaona ww ndo umeongea point kuliko awo mapopoma wa domo
 
Yap, ni yeye tu. Diamond ana bidii and he thinks outside the box. He has big dreams and he is not afraid to follow them. So dont be surprised that companies can see that and are interested in working with him.
Diamond anapiga kazi anapata tuzo, ambassador anapigiwa debe na kina wema apate tuzo bado wanalingamisha na baba tee hawa vepe
 
Uwo na wakujitolea tunataka makampuni makubwa Kama airtel tigo au vodacom coz jamaa naamini kwa kile kipaji na ile sauti akitengeneza tangazo litakuwa hit song kqbisa ebu makampuni yamwangalie king wa bongo fkava kwa jicho la tatu
Unahisi humu sehemu sahihi? Makampuni ya biashara nia yao ni kuvuta watu kwa kutumia mtu wanayeamini anafaa kwa soko wanaloliendea.

Makampuni hayo yanaamini kuwa Kiba siyo mtu sahihi kwa hiyo biashara. Nashauri asubiri mpaka utakapofika wakati wake. Hoja yako nimeielewa, kweli jamaa ana gundu. Nashauri mashabiki wake muache matusi huenda akafanikiwa.
 
Picha plllllllllllllz
 
ndio hili halina ubishi(labda uwe virus kichwani) diamond ni msanii anayejielewa zaidi ya wote.. pia anafaa kibiashara zaidi because ana fans wengi mpaka abroad.. so brand yako ukimtumia itafika mbali sana tofauti na hao MBULULA wengine
Basi tunashida sana....kama tunamtegemea mtu mmoja kwenye kutangaza biashara. Sasa hawa wengine utawanyanyuaje? Bora wangeangaliwa top 3 ya wasanii wenye mashabiki wengi.
 
Wew timu kibakuli kuwa mpole...kwanza kabla cjaenda mbali niambie follower wa alikiba insta na diamond...ukiweza kuntajia namba ya mashabik hao basi tutajadir huu upuuzi
 
Yap, ni yeye tu. Diamond ana bidii and he thinks outside the box. He has big dreams and he is not afraid to follow them. So dont be surprised that companies can see that and are interested in working with him.
Thats not true, kuna mtu kama AY , Alikiba , Lady JD etc. Tuache ubinafsi hata shuleni uwa wanachukuliwa top 3 ili kuiwakilisha shule na si mmoja tu kufanya kila kitu........
 
Team Kiba kwenye ubora wao[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mtoa mada ameharibu kwa kushidwa kuficha mahaba yake kwa Ali Kiba na kumpondea Diamond. Makampuni makubwa hayana uswahili kama ninyi mashabiki.Mpaka unakuwa balozi lazima upitie kwenye mizani,lazima uwe unajielewa.

Alafu Ali Kiba hana mashabiki kama unavyojaribu kuonesha, ana mashabiki wachache na wengine ni wale wanaomchukia Diamond.
 
Mwenye nacho huongezewa maradufui
 
Hata humu matangazo yake yamo. Kweli diamond kiboko... teh teh
Nasikia diamond akiitwa kwenye show afu akaambiwa na kiba atakuwepo huwa ananyari kinoma..,.anamuogopa king kinoma noma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…