Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Status
Not open for further replies.
In
wewe mwenyewe uelewi unazungumza nini..kwani diamond kampuni gani ilimuinua.?
Ina maana kama wewe hakuna aliyekusaidia kufanikisha malengo yako basi na wewe hauwezi kuwasaidia wengine kufanya jambo fulani.?
 
Hakuna anaenisaidia ndio...nafikia malengo yangu kwa jasho langu...umezaliwa mwenyew piga kazi mwenyew usitegemee msaada...mtu pekee wa kukusaidia bure dunia hii ni wazaz wako tu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hakuna anaenisaidia ndio...nafikia malengo yangu kwa jasho langu...umezaliwa mwenyew piga kazi mwenyew usitegemee msaada...mtu pekee wa kukusaidia bure dunia hii ni wazaz wako tu
Mmmmh hatari.........
 
Wanaamini kila anachopata diamond kiba anastahili zaidi wanasahau kwamba hakuna kinachokuja bure bila kujituma na kuwa mbunifu, wataendelea kumuona kwenye tv na wakizima watamsikia kwenye radio wakizima na hiyo watamuona kwenye mabango barabarani diamond haepukiki
wataishia kufuta vumbi viti wanavodai waliviacha...
 
In

Ina maana kama wewe hakuna aliyekusaidia kufanikisha malengo yako basi na wewe hauwezi kuwasaidia wengine kufanya jambo fulani.?
Kama ni msaada jamaa anasaidia sana, harmonize na Raymond kawainua yeye, wasanii kibao huwa anawatangazia kazi zao, yamoto band kwenye shooting yao kwa godfather jamaa akitoa support sana msaada upi tena awasaidie labda kuwamwagia hela
 
We utakuwa unaota diamond kala voda zaidi ya mil 600, dstv zaidi ya mil 150, tangazo la cocacola onja msisimko zaidi ya mil 60 alafu unasema anafanya bure? Kajipange upya
leta ushahidi kuwa alilipwa hizo hela...ila usije kusema ushahidi huo umeutoa kwenye mdomo wa diamond au wapambe wake
 
Kama ni msaada jamaa anasaidia sana, harmonize na Raymond kawainua yeye, wasanii kibao huwa anawatangazia kazi zao, yamoto band kwenye shooting yao kwa godfather jamaa akitoa support sana msaada upi tena awasaidie labda kuwamwagia hela
Mamaaa sijasema diamond hawasaidii wenzake.....hoja iliyopo mezani ni kwanini hayo makampuni ya simu yanamtumia zaidi diamond.
 
Kama ni msaada jamaa anasaidia sana, harmonize na Raymond kawainua yeye, wasanii kibao huwa anawatangazia kazi zao, yamoto band kwenye shooting yao kwa godfather jamaa akitoa support sana msaada upi tena awasaidie labda kuwamwagia hela
Mamaaa sijadema diamond hawasaidii wenzake.....hoja iliyopo mezani ni kwanini hayo makampuni ya simu yanamtumia zaidi diamond.
 
Yanamtumia yeye kwasababu anao uwezo wa kuwaingizia pesa, pia kama kuna msanii mwingine mwenye uwe huo atatumika tu
 
Kazi ya kuinua vipaji ni ya BONGO STAR SEARCH sio ya VODACOM
Tatizo ushabiki .......na hatufanikiwi kwenye mambo mengi sababu ya USHABIKI. Jambo fulani afanye fulani na si huyu.... .....nasema tena tanzania bado sana.
 
Ha ha ha afu na ushabiki wa uongo ha ha ha kiba is overrated mnamsifia sifa za uongo ndo maana hapigi hatua
 
team kiba bwana wamekosa vya kutuletea yani wameanza na wivu wa kazi za wenzao hayaaa ila kiba naye si balozi wa tembo jamani au aitoshi kulinda tembo wetu
 
Kitu ambacho sitaki kuamini ni kwamba wasanii wengine hawayafanyi kama anayoyafanya diamond...... Kama hilo swala uliloliyolea mfano. Ni kweli wengine hawafanyi?

Dada mbishi wewe...

Wasanii wengine kusema wanafanya anachofanya Diamond, bado hawafanyi japo kuna wachache wanaojitahidi kwa mbaaaali..

Tofauti na jina kubwa alilonalo diamond na mafanikio yake kimuziki, jamaa kwenye social media anafuatiliwa sana na ndio sehemu mojawapo ya kutangaza bidhaa.. Chukulia mfano facebook alikiba anamashabiki elfu themanini na kitu 80,000+ wakati Diamond anamashabiki zaidi ya milioni moja, laki na tisini 1,190,000+, ukija instagram diamond anawatu milioni mbili, huku alikiba anawatu milioni moja kama ni kuchagua kampuni itamkimbilia yupi???? labda wajivishe ubasata ndio watakimbilia kwa alikiba, otherwise HAWAWEZI

Umeona picha alipokuwa anasaini mkataba wa Red gold tomato sauce??? Amesaini kwenye ofisi zake mwenyewe za WCB wasafi, sasa swali kwako msanii gani anayo ofisi angalau hata iwe ya kutisha kwa wadau kipindi wanapo bargain price??? HAKUNA

Uliliona tangazo la voda? Kuanzia audio, video, photoshoot, vyote vimefanyika kwenye ofisi zake za WCB kitu kinachoonesha ni kwa kiasi gani brand ilivyojikamilisha, na baada ya hapo video ikawekwa youtube kwenye account ya diamond yenye mashabiki zaidi ya 260,000+ akiwa msanii wa tatu Afrika baada ya psquare na davido, huku tanzania hakuna msanii aliyefikia hata mashabiki 50,000 na ndani ya video kuna added advantage ya kuonekana kwa Zari, Tiffah na mama Diamond, Je kuna familia ipi ya mwanamuziki wa bongo wenye publicity inayokaribia familia ya Diamond??? HAKUNA.. Kitaani watu wanamfahamu princess tiffah vizuri kuliko hata baadhi ya mastaa

KAMA ULIYAFICHA MADESA YAKO SEHEMU NENDA KAFEKENYUE, MAJOR AIM OF BUSINESSES IS TO MAKE PROFIT SASA SIJUI UNATAKA BIASHARA IYUMBE KISA TEAM ZA KIJINGA?
 
Isho_boy bhana, huyo Kiba mwenyewe hata kuandika caption anajionea taabu ndo mtu ampe u- brand ambassador!!

Halafu hivi una habari cku hizi marketing imehamia kwenye social media ambako huyo Kiba si tu kwamba hata mambo ya kuandika caption anajionea taabu lakini kutokana na mapozi yake, watu kibao wana followers wengi zaidi yake wakati ktk hali ya kawaida ilitakiwa awe amekaliana kooni na Diamond lakini matokeo yake anakaliana kooni na kina Rose Ndauka!

Halafu ngoja nikujuze kitu kidogo. Kiba haja - follow mtu Instagram. Usually haandiki caption. Kibiashara hayo mambo mawili yanatoa picha kwamba ana poor social interaction kwahiyo ni ngumu sana mtu kumpa u - ambassador msanii anayeonesha ana poor social interaction!

Kama ushawahi kuhudhuria interviews na unafahamu jinsi ya kujibu maswali ya "what are your extracurricular activities au hobby zako ni zipi basi bila shaka utanielewa namaanisha nini hapo kwenye social interaction.
Unajua Beyonce hajafollow mtu kwny Instagram lkn mbn makampuni yanamtafuta so unataka kunambia na yy ana poor social interaction
 
Dada mbishi wewe...

Wasanii wengine kusema wanafanya anachofanya Diamond, bado hawafanyi japo kuna wachache wanaojitahidi kwa mbaaaali..

Tofauti na jina kubwa alilonalo diamond na mafanikio yake kimuziki, jamaa kwenye social media anafuatiliwa sana na ndio sehemu mojawapo ya kutangaza bidhaa.. Chukulia mfano facebook alikiba anamashabiki elfu themanini na kitu 80,000+ wakati Diamond anamashabiki zaidi ya milioni moja, laki na tisini 1,190,000+, ukija instagram diamond anawatu milioni mbili, huku alikiba anawatu milioni moja kama ni kuchagua kampuni itamkimbilia yupi???? labda wajivishe ubasata ndio watakimbilia kwa alikiba, otherwise HAWAWEZI

Umeona picha alipokuwa anasaini mkataba wa Red gold tomato sauce??? Amesaini kwenye ofisi zake mwenyewe za WCB wasafi, sasa swali kwako msanii gani anayo ofisi angalau hata iwe ya kutisha kwa wadau kipindi wanapo bargain price??? HAKUNA

Uliliona tangazo la voda? Kuanzia audio, video, photoshoot, vyote vimefanyika kwenye ofisi zake za WCB kitu kinachoonesha ni kwa kiasi gani brand ilivyojikamilisha, na baada ya hapo video ikawekwa youtube kwenye account ya diamond yenye mashabiki zaidi ya 260,000+ akiwa msanii wa tatu Afrika baada ya psquare na davido, huku tanzania hakuna msanii aliyefikia hata mashabiki 50,000 na ndani ya video kuna added advantage ya kuonekana kwa Zari, Tiffah na mama Diamond, Je kuna familia ipi ya mwanamuziki wa bongo wenye publicity inayokaribia familia ya Diamond??? HAKUNA.. Kitaani watu wanamfahamu princess tiffah vizuri kuliko hata baadhi ya mastaa

KAMA ULIYAFICHA MADESA YAKO SEHEMU NENDA KAFEKENYUE, MAJOR AIM OF BUSINESSES IS TO MAKE PROFIT SASA SIJUI UNATAKA BIASHARA IYUMBE KISA TEAM ZA KIJINGA?
Full nondo
 
Kwahiyo celebrate ni diamond tu? AY na wengineo sio?
Tatizo unajifanya huelewi wakati unaelewa! Hivi condition niliyoweka hapo ni kuwa celebrity au nimesema msanii mwenyewe kuwa brand in advance?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom