Inakiwaje rais anadai tufuate sheria wakati huo akivunja katiba juu ya mikutano ya kisiasa

Inakiwaje rais anadai tufuate sheria wakati huo akivunja katiba juu ya mikutano ya kisiasa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Ivi hapa mama Samia kapotea.

Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa?

Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye mikutano ya ndani pekee?

Ni sheria gani inayosema siasa kwa mbunge na eneo lake pekee hapa tanzania?
 
Hivi shughuli za chama ni lazima mikutano ya hadhara? Mbona michango kwa ya faini za mahakama mnachangisha mitandaoni na kufanikiwa? Mbona Mbowe kazunguka mikoani kufungua ofisi za chama tumeona nchi nzima? Hivi shida ni nini?

Tumieni hii bahati vizuri CHADENA hamuijui kesho? Kama bike ambàvyo hamkujua mama atakuwa raisi ndivyo ambavyo kesho hamuijui. Kama mazingira walau finyu yanaruhusu kufanya chochote Fanyeni, malumbano hayasaidii.
 
Hivi shughuli za chama ni lazima mikutano ya hadhara? Mbona michango kwa ya faini za mahakama mnachangisha mitandaoni na kufanikiwa? Mbona Mbowe kazunguka mikoani kufungua ofisi za chama tumeona nchi nzima?...
Shughuli za chama cha siasa ni barabarani, huko ndio kuna watu, ukumbini peleka kitchen party.
 
Kama kufanya mikutano ya hadhara inaruhusiwa kikatiba.

Kuna haja gani ya kuomba ruhusa kwa Rais.
Hamuoni kama mnampa Rais nafasi ya kufanya anavyotaka.
 
Katika hili mama Samia amekosea kwa 100%. Vyama vya siasa vimeanzishwa kikatiba na shughuli zao zinaruhusiwa kikatiba. Rais yeye ni nani mpaka azuie shughuli za vyama vya siasa?

Huu upumbavu wa mwendazake, mama Samia anauiga ili iweje?
 
Mikutano ya kisiasa siyo tu kwamba ni haki ya kikatiba bali pia ni universal declaration of human rights and she don't have clue.Jumong ni inept leader mwenye laana za Kaka yake.
109_20210628_200150.jpg
 
Nchi imetulia sana na watu wanapiga kazi, sioni sababu ya kuruhusu vicoba vya siasa kwa sasa.
Samia anauma na kupuliza,😁😁😁 Chadema siasa wafanyie kwenye kumbi kama vile wanafanya vikao vya kitchen part,tena shughuri yenyewe wafanye alhamisi 😄😃😁,Safi sana Samia tujenge uchumi kwanza siasa baadae
 
Hivi shughuli za chama ni lazima mikutano ya hadhara? Mbona michango kwa ya faini za mahakama mnachangisha mitandaoni na kufanikiwa? Mbona Mbowe kazunguka mikoani kufungua ofisi za chama tumeona nchi nzima? Hivi shida ni nini? Tumieni hii bahati vizuri CHADENA hamuijui kesho? Kama bike ambàvyo hamkujua mama atakuwa raisi ndivyo ambavyo kesho hamuijui.
Kama mazingira walau finyu yanaruhusu kufanya chochote Fanyeni, malumbano hayasaidii.
Magufuli alikua anagawa hela ukumbini kwenye ile misafara yake??

Inakuaje alikua anasababisha traffic jam hata kwa saa 3 nzima na kuziba shughuli za uzalishaji..

Je kampeni na kufanya kote siasa pekeyake kwa miaka 6 bado mliona mko sawa? Utasemaje unakubalika wakati ulingo wa kisiasa sio sawa??
 
Ivi hapa mama Samia kapotea.

Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa?

Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye mikutano ya ndani pekee?

Ni sheria gani inayosema siasa kwa mbunge na eneo lake pekee hapa tanzania?
Na bado, mtamgeuka tu
 
Halafu waandishi wana shindwa kumuuliza hilo swali..
Hatuna waandishi Tanzania..
 
Umuhimu wa mikutano ya hadhara ni kuwa inatoa nafasi kwa vyama vya siasa kujipima dhidi ya wapinzani wao. Kwa sababu mikutano hii ni ya hadhara, wapinzani wanaweza kuhudhuria bila kuzuiwa na kusikiliza na kuhoji vipaumbele vya Chama Tawala na strategy yao ya kuvutia wananchi. Kwa tamko la leo, wapinzani watakuwa na nafasi nzuri ya kuwapima CCM kabla ya uchaguzi Mkuu ujao na hivyo kutayarisha Oktoba surprise. CCM hiyo nafasi hawana kwa sababu mikutano ya ndani ni private na limited kwa wanachama peke yao na waalikwa wengine. Uamuzi huu unaweza kukiathiri Chama Tawala kuliko vyama vya upinzani makini.

Amandla...
 
Hivi shughuli za chama ni lazima mikutano ya hadhara? Mbona michango kwa ya faini za mahakama mnachangisha mitandaoni na kufanikiwa? Mbona Mbowe kazunguka mikoani kufungua ofisi za chama tumeona nchi nzima? Hivi shida ni nini? Tumieni hii bahati vizuri CHADENA hamuijui kesho? Kama bike ambàvyo hamkujua mama atakuwa raisi ndivyo ambavyo kesho hamuijui.
Kama mazingira walau finyu yanaruhusu kufanya chochote Fanyeni, malumbano hayasaidii.
Katiba ndiyo ilimpa uraisbaa
Hivi shughuli za chama ni lazima mikutano ya hadhara? Mbona michango kwa ya faini za mahakama mnachangisha mitandaoni na kufanikiwa? Mbona Mbowe kazunguka mikoani kufungua ofisi za chama tumeona nchi nzima? Hivi shida ni nini? Tumieni hii bahati vizuri CHADENA hamuijui kesho? Kama bike ambàvyo hamkujua mama atakuwa raisi ndivyo ambavyo kesho hamuijui.
Kama mazingira walau finyu yanaruhusu kufanya chochote Fanyeni, malumbano hayasaidii.eheessh
Kama katiba isingeheshimiwa tungepata shida sana baada ya kifo cha Rais Magufuri. Hivyo tusichague vitu vya kutufurahisha kwenye katiba. Kama mikutano ya vyama vya siasa haitakiwi tufute kipengele hicho kwenye katiba.
 
Back
Top Bottom