Inakiwaje rais anadai tufuate sheria wakati huo akivunja katiba juu ya mikutano ya kisiasa

Inakiwaje rais anadai tufuate sheria wakati huo akivunja katiba juu ya mikutano ya kisiasa

Mimi mwana chama wa chama cha upinzani ila sioni maana ya mikutano kwa mda kama huu tukisimama kwenye hayo majukwaa tutasema nini labda ? Mabaya ya magu ? Sera au ushauri mbona vitu vingi tunavifanya mitandaoni kuliko mikusanyo isiyo kuwa na kichwa wala miguu
 
Madikteta ndiyo huwa yana tabia hizi. Huyu mama ni dikteta. She is another monster in democratic world.
 
Back
Top Bottom