Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Mmeanza kulia lia....Rais amekosea, amerudia kosa la Magufuli aliekuwa hafuati sheria.
Shughuli za chama cha siasa ni barabarani, huko ndio kuna watu, ukumbini peleka kitchen party.Hivi shughuli za chama ni lazima mikutano ya hadhara? Mbona michango kwa ya faini za mahakama mnachangisha mitandaoni na kufanikiwa? Mbona Mbowe kazunguka mikoani kufungua ofisi za chama tumeona nchi nzima?...
Rais amekosea, amerudia kosa la Magufuli aliekuwa hafuati sheria.
Rais amekosea, amerudia kosa la Magufuli aliekuwa hafuati sheria.
Tulizeni mishono,Rais amekosea, amerudia kosa la Magufuli aliekuwa hafuati sheria.
Tunashukuru ujenzi wa bandari ya Bagamoyo tulio aminishwa kuwa ni ujambazi mtupu na yule MwendakuzimuSamia= Magufuli
Nyumbu wataelewa tu
Samia anauma na kupuliza,😁😁😁 Chadema siasa wafanyie kwenye kumbi kama vile wanafanya vikao vya kitchen part,tena shughuri yenyewe wafanye alhamisi 😄😃😁,Safi sana Samia tujenge uchumi kwanza siasa baadaeNchi imetulia sana na watu wanapiga kazi, sioni sababu ya kuruhusu vicoba vya siasa kwa sasa.
Magufuli alikua anagawa hela ukumbini kwenye ile misafara yake??Hivi shughuli za chama ni lazima mikutano ya hadhara? Mbona michango kwa ya faini za mahakama mnachangisha mitandaoni na kufanikiwa? Mbona Mbowe kazunguka mikoani kufungua ofisi za chama tumeona nchi nzima? Hivi shida ni nini? Tumieni hii bahati vizuri CHADENA hamuijui kesho? Kama bike ambàvyo hamkujua mama atakuwa raisi ndivyo ambavyo kesho hamuijui.
Kama mazingira walau finyu yanaruhusu kufanya chochote Fanyeni, malumbano hayasaidii.
Na bado, mtamgeuka tuIvi hapa mama Samia kapotea.
Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa?
Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye mikutano ya ndani pekee?
Ni sheria gani inayosema siasa kwa mbunge na eneo lake pekee hapa tanzania?
By JK nyerereShughuli za chama cha siasa ni barabarani, huko ndio kuna watu, ukumbini peleka kitchen party.
Halafu waandishi wana shindwa kumuuliza hilo swali..Ivi hapa mama Samia kapotea.
Inaqezekanaje usisitize juu ya kufuata sheria za nchi wakati huo ukivunja katiba ya nchi kwa kuzuia shughuri za kisiasa?
Ni sheria ipi inayotaka vyama vifanye mikutano ya ndani pekee?
Ni sheria gani inayosema siasa kwa mbunge na eneo lake pekee hapa tanzania?
Katiba ndiyo ilimpa uraisbaaHivi shughuli za chama ni lazima mikutano ya hadhara? Mbona michango kwa ya faini za mahakama mnachangisha mitandaoni na kufanikiwa? Mbona Mbowe kazunguka mikoani kufungua ofisi za chama tumeona nchi nzima? Hivi shida ni nini? Tumieni hii bahati vizuri CHADENA hamuijui kesho? Kama bike ambàvyo hamkujua mama atakuwa raisi ndivyo ambavyo kesho hamuijui.
Kama mazingira walau finyu yanaruhusu kufanya chochote Fanyeni, malumbano hayasaidii.
Kama katiba isingeheshimiwa tungepata shida sana baada ya kifo cha Rais Magufuri. Hivyo tusichague vitu vya kutufurahisha kwenye katiba. Kama mikutano ya vyama vya siasa haitakiwi tufute kipengele hicho kwenye katiba.Hivi shughuli za chama ni lazima mikutano ya hadhara? Mbona michango kwa ya faini za mahakama mnachangisha mitandaoni na kufanikiwa? Mbona Mbowe kazunguka mikoani kufungua ofisi za chama tumeona nchi nzima? Hivi shida ni nini? Tumieni hii bahati vizuri CHADENA hamuijui kesho? Kama bike ambàvyo hamkujua mama atakuwa raisi ndivyo ambavyo kesho hamuijui.
Kama mazingira walau finyu yanaruhusu kufanya chochote Fanyeni, malumbano hayasaidii.eheessh