Mimi mwana chama wa chama cha upinzani ila sioni maana ya mikutano kwa mda kama huu tukisimama kwenye hayo majukwaa tutasema nini labda ? Mabaya ya magu ? Sera au ushauri mbona vitu vingi tunavifanya mitandaoni kuliko mikusanyo isiyo kuwa na kichwa wala miguu