Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

Si mmekabidhi nchi kwa wapigadili mtakiona cha mtema kuni, Magufuli aliongea sana mkaishia kumuita raisi mshamba 😂😂😂 sasa wajanja ndio hao wako kuwalazeni njaa
Baba Magufuli kokote uliko "nakuomba msamaha, nimekosa mimi, nimekosa Sana". Wahenga walisema mtoto akililia wembe mpe, Sasa wembe ndio unatukata.
 
Usafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.

Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.

Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Jf ni sehemu waungwana wanakutana kujadili mambo ya maana. Jazba na hasira tunalazimisha tu kuziweka lakini sio sehemu yake.

Kama impact ya bei inatakiwa kuonekana mwezi mmoja baada kwanini vita ilipoanza tu huku bei ikapanda wakati mafuta yalishafika?
 
Hiyo bei kwa pipa ni mafuta ghafi mkuu sio haya unayoweka kwenye Gari.
Ujinga mwingine huu. Yanapopanda huwa sio ghafi au sio!? Ila yakishuka ndio yanakuwa ghafi au sio!? Huu ujinga tafuteni wa kuwaambia. Kwani hayo mafuta Safi hayatokana na mafuta ghafi!? Au unataka kutuletea porojo kuwa hayo ghafi huchimbwa kivyake na hayo masafi huchimbwa kivyake!? Acha kujitoa akili.
 
Inaonekana umesahau kuwa Msoga amerudi madarakani na mwanaye ndiye msimamizi wa kampuni lao la mafuta . Kinachoendelea Ni kurudisha pesa zao zote walizozikosa kipindi kile jiwe amewabana makende.
Duuuh.
 
Usafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.

Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.

Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Weka hiyo scale juu ya madai yako kama mtoa mada alivyofanya ili tujiridhishe
 
Naelewa, bei ya mafuta ghafi ikiwa chini na hata haya ya kwenye gari yatakuwa chini. Bei ya mafuta ghafi ikiwa juu na ya kwenye gari pia yatakua juu.
Refine cost ipo constant, au unataka kusema refine cost imeongezeka alafu crude oil imepungua? Hata hivyo nakuhakikishia refine cost haikuongezeka ilikuwa constant
Unapoteza muda wako kwa huyo jamaa. Hana anachokijua, au huenda ndio wale wale wanaofaidika na huu mchezo wa kihuni.
 
Baba Magufuli kokote uliko "nakuomba msamaha, nimekosa mimi, nimekosa Sana". Wahenga walisema mtoto akililia wembe mpe, Sasa wembe ndio unatukata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jf ni sehemu waungwana wanakutana kujadili mambo ya maana. Jazba na hasira tunalazimisha tu kuziweka lakini sio sehemu yake.

Kama impact ya bei inatakiwa kuonekana mwezi mmoja baada kwanini vita ilipoanza tu huku bei ikapanda wakati mafuta yalishafika?
shangaa na wewe
 
Athari ya BULK PROCUREMENT..
Mafuta yanayouzwa leo yalinunuliwa miezi 2 au 3 ya nyuma
Bado hii nayo sio hoja. Kama Mafuta yalinunuliwa Miezi miwili au mitatu iliyopita inakuwaje Bei isibakie ile ile badala yake ipande kila Mwezi? Au Kuhifadhi Mafuta nako Ni Gharama? Hii Nchi watu tunaenda kusoma ili tuwe wajinga? Unaweza kuona jinsi watu wanavyofurahi kuongozwa na huyu mama eti Ni Kiongozi anayetuongoza vizuri! Unaweza kuelewa tuna tatizo kubwa kiasi gani katika kutofautisha uwezo wa Viongozi.
 
Yakishuka unaambiwa effect yake ni miezi miwili mbele ila yakipanda leo huko duniani, bei zinapanda hapohapo bila kujali maswala ya shehena wala nini.

Mimi huwa nawashangaa wanaojaribu kumtetea huyu dada, hii nchi imemshinda.
Huyo dada au ajuza anayesaidiwa kuendesha nchi na wahuni.
 
Usafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.

Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.

Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Una kazi ngumu sana.
 
Rais anabidi kuwa makini maana ugumu wa maisha utafanya usalama wa nchi kuwa mdogo.
 
Athari ya BULK PROCUREMENT..
Mafuta yanayouzwa leo yalinunuliwa miezi 2 au 3 ya nyuma
Hii ni porojo nyingine hii. Yanapopanda huko duniani mbona huku huwa yanapanda pia.!? Kwa Nini wasingoje bulk mpya ndio yapande!?
 
Back
Top Bottom