JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Baba Magufuli kokote uliko "nakuomba msamaha, nimekosa mimi, nimekosa Sana". Wahenga walisema mtoto akililia wembe mpe, Sasa wembe ndio unatukata.Si mmekabidhi nchi kwa wapigadili mtakiona cha mtema kuni, Magufuli aliongea sana mkaishia kumuita raisi mshamba 😂😂😂 sasa wajanja ndio hao wako kuwalazeni njaa