Inakuaje gari la mwaka 2020 au zaidi linakuwa na Plate namba “A”?

Mara nyingi utakuta gari ni ya zamani ila wame upgrade so plate namba zinabaki zilezile
 
Sasa kama haiwakwamishi kiutendaji kuna haja gani ya kujichoresha kwa kuweka namba ambazo sio sahihi?

Kumbe hata wakiweka number plate sahihi haiwakwamishi kiutendaji sasa ni ushamba unaofanyika basi.
Huwezi kuwapangia watumie zipi, kama wewe wasivyo kupangia taratibu za ofisi yako. mpaka wanaweka hizo ina maana sio kikwazo kwao, ingekuwa kikwazo wangekuwa hawaziweki.
 
Moka nyeusi tii
 
Mara nyingi ni nanba za taasisi za umma. Wao wana namba zao special hivyo gari ya zamani ikifa wakanunua mpya wanakua wanaitumia hiyo.

Hiyo gari ina namba 2, stl ama su na kisha hizo namba. Anaeitumia akitaka asijulikane anabadilisha anaweka hiyo ya private.
 
Gari mpya plate number ya zamani? Ndio unamaanisha au umeteleza?
 
Back
Top Bottom