Inakuaje Lawrence Mafuru azikwe Dar na sio kwao Mara?

Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru,inaonyesha atazikiwa Dar.kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko,na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Unataka kumpangia pa kuzikwa mkuu?

Yani wewe ndiye unataka kuamua umpangie marehemu na familia yake wapi pa kuzikwa?
 
Huko kwao Mara unakujua au unasikia tu? Wabongo mtaacha lini kujishughulisha na mambo yasiyowahusu?
Hawa watu ndiyo maana CCM inawaburuza.

Watu wetu wengi hawajielewi kabisaaaa.

Yani hawa ngumbaru hawajui hata boundaries kwamba hili ni jambo la familia ya watu tuwaachie wapange wanavyotaka bila kuingiliwa msibani.
 
Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.

Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?

Pia soma TANZIA - Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia
Ndugu yangu umeuliza swali zuri sana. Majuzi tu kule Arusha Mjukuuu wa Nyerere amezikwa Arusha siyo Butiama, Mzee Mkono ikawa shughuli ile ile leo tena Mafuru. Siyo rahisi kwa Mwanaume wa Mara azikwe Daaslam kama wengine wanavyosema humu kwamba unazikwa popote.

Tatizo hawa watu wameoa wanawake kutoka ukanda ule wa kugombania mali na kutaka kujimilikisha kila jambo na wanaume walishafungwa mdomo hakuna namna inapotokea msiba ni kuwasikiliza wanataka nini kuliko kuvutana nao mpaka mahakamani inaleta fedhea zaidi. Lkn ni aibu
 
Nadhani upo sahihi. Kuna watu huko diaspora wanatangulia mbele ya haki kila mara, naona michango kwenye magroup ya watsup. Mbona hawazikwi huko huko?

Ingawa ukweli huwezi mpangia mtu maisha, lakini kwa asilimia kubwa ukiona mtu anatangulia mbele ya haki na kuzikwa Dar, chances ni kubwa kwamba nyumbani huko kijijini hakufanya lolote la maana kama kujenga nyumba au adress ya kumtam ulisha yeye na familia yake. Pia, wengi wa hawa watu wana hadhi kubwa ndani ya jamii, especially huku mjini. Walitengeneza image fulani ya U-don hapa mjini. sasa kupeleka mwili kijijini, inaweza ikawa aibu kwa waliobaki. ukichukulia kwamba hapa mjini wanaishi maisha mazuri sana.

Ila mimi naamini kuna watu hata wakifa ukipeleka mwili kijijini kuna ka positive effect fulani interms ya visibility ya kijiji husika.

In all, kama mchangiaji mmoja alivyoandika hapo juu, hili ni swala la kifamilia zaidi.

RIP ndugu Mafuru.
 
Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.

Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?

Pia soma TANZIA - Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia
Mkuu kwani shida ipo wapi kama familia wameridhia kufanya hivyo.

Shida ingekuwa kama alisema au wanafamilia walitaka kusafirisha kukawa na pingamizi au ukosefu wa fedha.
 
Ingawa ukweli huwezi mpangia mtu maisha, lakini kwa asilimia kubwa ukiona mtu anatangulia mbele ya haki na kuzikwa Dar, chances ni kubwa kwamba nyumbani huko kijijini hakufanya lolote la maana kama kujenga nyumba au adress ya kumtam ulisha yeye na familia yake. Pia, wengi wa hawa watu wana hadhi kubwa ndani ya jamii, especially huku mjini. Walitengeneza image fulani ya U-don hapa mjini. sasa kupeleka mwili kijijini, inaweza ikawa aibu kwa waliobaki. ukichukulia kwamba hapa mjini wanaishi maisha mazuri sana.
Kwa nini hao watu wa kijijini wasifanye lolote huko kijijini? Mfanyakazi au Mtumishi wa serikali atapata wapi pesa za kujenga mjini na kijijini bila wizi au rushwa wa mali za umma??
 
Back
Top Bottom