Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
kwani anazikwa kwenye nyumba?Hajajenga kwao !!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani anazikwa kwenye nyumba?Hajajenga kwao !!.
Ujenge nyumba nyingi kwa utajiri gani ulionao?Utafute chakula,mavazi na malazi ya familia halafu ujenge nyumba nyingi.Kwa ufisadi gani?Hajajenga kwao !!.
Alikuwa anaishi magorofani!Kwake ni alipokuwa anaishi
Unataka kumpangia pa kuzikwa mkuu?Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru,inaonyesha atazikiwa Dar.kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko,na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Wabongo wengi wanapenda sana kuishi kwa kupangiana maisha.Babu yangu mzee Nsemwa alizikwa Dar nilishangaa nilitegemea angesafirishwa familia ndo inayoamua tupunguze ujuaji na umbea.
Hawa watu ndiyo maana CCM inawaburuza.Huko kwao Mara unakujua au unasikia tu? Wabongo mtaacha lini kujishughulisha na mambo yasiyowahusu?
Wapi pa kuzikwa itategemea na familiaNikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Pia soma TANZIA - Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia
Ndugu yangu umeuliza swali zuri sana. Majuzi tu kule Arusha Mjukuuu wa Nyerere amezikwa Arusha siyo Butiama, Mzee Mkono ikawa shughuli ile ile leo tena Mafuru. Siyo rahisi kwa Mwanaume wa Mara azikwe Daaslam kama wengine wanavyosema humu kwamba unazikwa popote.Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Pia soma TANZIA - Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia
Umeonyeshwa wosia .Wewe ni mwana familia? Makaburi ya Dar ni ya kina nani? Tanganuyika kuna kubaguana?Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Pia soma TANZIA - Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia
Kwani kuna ulazima? Ni maamuzi tuu. Hata huko alikofia angeweza kuzikwaNikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Pia soma TANZIA - Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia
Poti wakifa hawanaga dhamani.Kwani kuna ulazima? Ni maamuzi tuu. Hata huko alikofia angeweza kuzikwa
Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Pia soma TANZIA - Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia
Nadhani upo sahihi. Kuna watu huko diaspora wanatangulia mbele ya haki kila mara, naona michango kwenye magroup ya watsup. Mbona hawazikwi huko huko?Ndugu yangu umeuliza swali zuri sana. Majuzi tu kule Arusha Mjukuuu wa Nyerere amezikwa Arusha siyo Butiama, Mzee Mkono ikawa shughuli ile ile leo tena Mafuru. Siyo rahisi kwa Mwanaume wa Mara azikwe Daaslam kama wengine wanavyosema humu kwamba unazikwa popote.
Tatizo hawa watu wameoa wanawake kutoka ukanda ule wa kugombania mali na kutaka kujimilikisha kila jambo na wanaume walishafungwa mdomo hakuna namna inapotokea msiba ni kuwasikiliza wanataka nini kuliko kuvutana nao mpaka mahakamani inaleta fedhea zaidi. Lkn ni aibu
Mkuu kwani shida ipo wapi kama familia wameridhia kufanya hivyo.Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru, inaonyesha atazikiwa Dar. Kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko, na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Pia soma TANZIA - Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia
Kwa nini hao watu wa kijijini wasifanye lolote huko kijijini? Mfanyakazi au Mtumishi wa serikali atapata wapi pesa za kujenga mjini na kijijini bila wizi au rushwa wa mali za umma??Ingawa ukweli huwezi mpangia mtu maisha, lakini kwa asilimia kubwa ukiona mtu anatangulia mbele ya haki na kuzikwa Dar, chances ni kubwa kwamba nyumbani huko kijijini hakufanya lolote la maana kama kujenga nyumba au adress ya kumtam ulisha yeye na familia yake. Pia, wengi wa hawa watu wana hadhi kubwa ndani ya jamii, especially huku mjini. Walitengeneza image fulani ya U-don hapa mjini. sasa kupeleka mwili kijijini, inaweza ikawa aibu kwa waliobaki. ukichukulia kwamba hapa mjini wanaishi maisha mazuri sana.