haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kabla hawajachelewa.
Leo nimekutaa na rafiki yangu wa muda mrefu, akiwa chuo watu walidhani sisi mapacha mana tulikua tunawaka vibaya sana. cha ajabu leo nimekutana nae, hana mume wala mtoto, lakini pia amehsaanza kuchoka, ile nuru haipo tena. na aliwakataa na pia alikua na wanaume wengi walotaka kumuo akagoma.
Yani kama mimi tu wadada wananisumbua hivi, how comes mdada akose soko? soko wanao ila wanakataa wateja. kwa mfao mimi ningekua mwanamke, ningekua nishaolewa hata mara mia, maana wadada wananishubua sana so why not kwa warembo?