Inakuaje madada mzuri anakuja kuishi maisha ya ajabu na ya hovyo mbali na kua na soko?

Inakuaje madada mzuri anakuja kuishi maisha ya ajabu na ya hovyo mbali na kua na soko?

with that mentality, we wouldn't have the world we have now. we are here because some people thought and question why things they are or happen in certain way. acha kujifanya unaakili sana, upo babu? ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ
Hii yakusema upo babu ,halafu una tingisha vidole kwa namna hiyo , sio pigo za kiume bwashee .
 
Ila Haszu unawatafuta Waja wa JF maneno.
Ngoja waje hapa, wakupopoe, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
shida iyo mi nilidhani ni demu,anakuwaje pacha na demu aisee,na kiswahili anachoandika anaoneka mtu wa pwani pwani zenji au tanga
 
Hiyo sign na huo msemo ameviweka makusudi kabisa ili tumtambue kua yeye ni nani,
Bwashee,hujaelewa kua amefanya makusudi kabisa kutuonyesha hiyo Signal?
Hahahaha ila mimi huwa nafikiri huyu ni wakike tu ila anaamua kuja kwa namna yake , hakuna mwanaume anaweza igiza hivi kwa muda ๐Ÿค”
 
kama nyinyi hata msipoolewa au kupata mtu wa ku settle nae, haina shida watu watasema " mmh ila kwa ile sura, hakuna mtu atakubai kubeba ule mzigo" una natural excuse to not be loved.
Anakuwa mwanamke wa namna gani wa hivyo, mwenye sura ya kuogofya ama kukinaisha wanaume na kushindwa kumuoa?
 
with that mentality, we wouldn't have the world we have now. we are here because some people thought and question why things they are or happen in certain way. acha kujifanya unaakili sana, upo babu? ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ
Kuna wanao question na kuna wanaonyanyapaa tu.

Hapa mostly mnanyanyapaa kwa kujifanya mna question, huelewi wapi?

Are you that slow?

Mpaka sasa mmesaidia nini? Mmemchangia mtu kwenda rehab? Mme reach out? Mmechambua sababu za kisaikolojia, kiuchuni, kijamii za hali hiyo? Mmefanya nini zaidi ya kunyanyapaa watu tu, tena kwa ubaguzi wa kijinsia?
 
hawa jamaa wa jf wengi ni mashoga, mtu anakutukana kua shoka, kisha anasema akikupata atakupiga mtungo. wanafiki sana
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
shida iyo mi nilidhani ni demu,anakuwaje pacha na demu aisee,na kiswahili anachoandika anaoneka mtu wa pwani pwani zenji au tanga
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom