🚮Hiyo nchi vijana wake wengi ni machoko na drug addicts hivyo ni ngumu kuweza kujiunga na jeshi.
Ugali wako umeguswa.
🖕Ugali wako umeguswa.
utaandamania wapiHawapendi kwa sababu marekani inashiriki sana kwenye vita ndiyo maana wanaogopa kujiunga tofauti na Tanzania hakuna vita japo Afcon ikianza tunakiwasha ili hawa wanajeshi wetu goigoi tuwachangamshe
Fck off
One thing for sure , US army walikuwa na utaratibu wa kuchukua watu cream kwenye jamii. Hii hatua ya kusajili wavuta bangi si dalili nzuri.Hiyo Nchi opportunity ni Nyingi tu za kumake more than ukiwa kwenye Jeshi.
Kingine wananchi wengi wako na common sense, Jeshi na common sense haviivi saaana.
Chini ya kitanda.utaandamania wapi
Hata bongo opportunity zingekuwa nyingi watu wasingejazana jeshini lakini ndiyo hivyo tena maslahi tuHiyo Nchi opportunity ni Nyingi tu za kumake more than ukiwa kwenye Jeshi.
Kingine wananchi wengi wako na common sense, Jeshi na common sense haviivi saaana.
Hata bongo opportunity zingekuwa nyingi watu wasingejazana jeshini lakini ndiyo hivyo tena maslahi tu
Umemtia kidole cha macho
Vikwazo kibaoHata bongo opportunity zingekuwa nyingi watu wasingejazana jeshini lakini ndiyo hivyo tena maslahi tu
Kwani ndumu imekukosea nini mkuu mboni unaishusha vyeo? Obama mwenyewe alisema kwamba yeye ni mtumiaji mzuri tu wa ndumu sasa inakuaje mkuu?One thing for sure , US army walikuwa na utaratibu wa kuchukua watu cream kwenye jamii. Hii hatua ya kusajili wavuta bangi si dalili nzuri.