MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,292
- 10,948
Bongo njaa kali wenyewe wanasema kitaa hapakaliki mwanangu mchongo wowote piga. Jeshini ndio mchongo mzima, hiyo four ya 28 mbona wanakuchukua tu mwana.
Hiyo VISA nani anakupa? Mmeshaambiwa watoto wa samia marufuku kukanyaga US, kaombe nafasi mgambo huko, hawana kikomo cha recruitment, mwisho ukawe mlinda geti kwa shoga tajiri.Nina mpango wa kwenda kujiunga na US army ila changamoto makaratasi, green card now days hakuna....itabidi nitafute kibibi kinipe resident permit
Dogo inakuwaje?😅😆Vita daily unafikiri haya matutusa ya Tz yangekimbilia hiyo kazi ?
Bangi ni halali kwa State nyingi sana. Sasa hv so sio big deal, hata bongo vijana kibao wanajiunga jw wakiwa wavuta bangi tayariKwani ndumu imekukosea nini mkuu mboni unaishusha vyeo? Obama mwenyewe alisema kwamba yeye ni mtumiaji mzuri tu wa ndumu sasa inakuaje mkuu?
Marekani, Israel,Lebanon ni nchi za kivita. Huwa wanatafuta vita wakati Tanzania jeshini ni sehemu ya kula bata, unaajiriwa mpaka unastaafu hakuna hekaheka yoyote. Israel jeshi ni lazima kila mtu ahudumu.Jinsi ambavyo huwa naona hapa bongo watu wanavyogombania kazi za jeshini hadi wengine wanahonga, wanaenda kwa vimemo na wengine kutapeliwa huwa nashangaa sana jinsi jeshi la Marekani linvyoshindwa kufikia malengo yake ya kuajiri wanajeshi wapya hadi inabidi kubembeleza watu au kushusha vigezo.
Mwaka huu wameongeza kikomo cha umri wa kuingia jeshini kutoka miaka 35 hadi miaka 42, pia hata kama imethibitika ni mvuta bangi wanakupokea tofauti na zamani!
Raia wa Tanzania ni wazalendo kuliko Wamarekani hadi kupenda hivyo kazi za jeshi?
View attachment 3569971
Heshma yako Meja Luzzi.Dogo inakuwaje?😅😆
TuKwani ndumu imekukosea nini mkuu mboni unaishusha vyeo? Obama mwenyewe alisema kwamba yeye ni mtumiaji mzuri tu wa ndumu sasa inakuaje mkuu?
Rais wa mtaani km mimi na Obama hatuna tofauti yoyote maana kwa sasa wote tupo mtaani, uliza swali lingine twende haraka haraka kidogounawezaje kumfananisha raia wa kawaida wa mtaani na Baraka Obama?
Tu
Fanya kazi sana mzee.Rais wa mtaani km mimi na Obama hatuna tofauti yoyote maana kwa sasa wote tupo mtaani, uliza swali lingine twende haraka haraka kidogo
Mara ya mwisho kukutana na Obama ilikua lini Mzee Bill Lugano ?Fanya kazi sana mzee.
Taifa lako bado ni maskini sana.
Nasisitiza tenaMara ya mwisho kukutana na Obama ilikua lini Mzee Bill Lugano ?
Subiri kuona,kwani D9 waliandamania wapiutaandamania wapi