Inakuaje vijana Wamarekani hawana hamasa na kazi za jeshi Marekani?

Nina mpango wa kwenda kujiunga na US army ila changamoto makaratasi, green card now days hakuna....itabidi nitafute kibibi kinipe resident permit
Hiyo VISA nani anakupa? Mmeshaambiwa watoto wa samia marufuku kukanyaga US, kaombe nafasi mgambo huko, hawana kikomo cha recruitment, mwisho ukawe mlinda geti kwa shoga tajiri.
 
Vijana wengi tayari wana access ya maisha bora, mfumo wao wa elimu, kazi, n.k

Wengi kuingia jeshini wanaona kama ni risk according na yanayoendelea huko.

Kwa Tanzania, ajira ni chache so the last option mtu anayokuwa nayo baada ya ku-hustle sana mtaani ni kujiunga na jeshi au uaskari.
 
Marekani, Israel,Lebanon ni nchi za kivita. Huwa wanatafuta vita wakati Tanzania jeshini ni sehemu ya kula bata, unaajiriwa mpaka unastaafu hakuna hekaheka yoyote. Israel jeshi ni lazima kila mtu ahudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…