Inakuaje viongozi wa Iran wanauawa sana, ni kwamba hawawezi kujilinda au wanafeli wapi ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.

Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?

  • Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran
  • Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
  • Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
  • Esmail Khatib — Waziri wa Ujasusi
  • Aziz Nasirzadeh — Waziri wa Ulinzi
hao ni baadhi tu, list ni ndefu sana
 
Pesa mkuu, kama Mojtaba tu imewekwa USD 10 Million kwa atakayevujisha siri za alipo sasa hizo ni zaidi ya TZS 23 Billion nani akatae kwa nchi za ulimwengu wa tatu?

CIA na Mossad zinapata ujasusi mwingi sio sababu ya uwepo wa assets zao ila pesa inatumika sana kununua taarifa.

Kumbuka hawa makamanda wana wake zao, watoto, mashemeji, michepuko, wapinzani n.k so anybody anaweza kutumika.

Hatari sana.
 
Il pia analysis yako inaweza kuwa biased, mfano Masoud Pezzeshkian yaani Rais wa Iran mwaka jana walijaribu kumuua zaidi ya mara 3 ila zote alikua anatonywa na majausi wa Iran kuwa atoke alipokaa na each time ka survive kifo.

So unapofanya analysis ungesema attempts ni ngapi na ngapi successful ngapi failure.
 
Pesa mkuu, kama Mojtaba tu imewekwa USD 10 Million kwa atakayevujisha siri za alipo sasa hizo ni zaidi ya TZS 23 Billion nani akatae kwa nchi za ulimwengu wa tatu?

CIA na Mossad zinapata ujasusi mwingi sio sababu ya uwepo wa assets zao ila pesa inatumika sana kununua taarifa.

Kumbuka hawa makamanda wana wake zao, watoto, mashemeji, michepuko, wapinzani n.k so anybody anaweza kutumika.

Pia Israel wapo vizuri sana kwenye kuchunguza vyombo vinavyotumia chip za computer, makampuni mengi makubwa ya simu na kompyuta (Samsung, Iphone, Dell, Hp, Microsoft, n.k) yana vituo vyao vya utafiti nchini Israel hasa katika kubuni na kuboresha teknolojia za bidhaa zao ila viwanda vipo China, hilo linaibua maswali ya kimkakati. Inawezekana kabisa kwamba ndani ya mnyororo huu wa ubunifu wa kiteknolojia, kuna uwekaji wa milango fiche (backdoors) au mifumo ya ufikiaji wa siri ambayo inaweza kutumiwa kwa maslahi ya kijasusi.
 
Ukitaka kujua zaidi tazama hii series ilishaelezea kila kitu Cc Mr Q dosho12 Seran
tehran-poster-768x1152.jpg
 
Hawaogopi kufa na hawaogopi kutangaza kifo
Hiyo kauli ni ya juu juu sana, reality ya ground iko tofauti kabisa.

Viongozi wa Iran wanazungukwa na mifumo ya ulinzi wa kiwango cha juu sana hata unapowaona wapo wenyewe. wanalindwa na vikosi maalum (elite commandos), ulinzi wa tabaka nyingi na teknolojia za hali ya juu za kuficha na kulinda mawasiliano.

Na sio viongozi wa Iran tu, hata kiongozi mkuu wa Hamas aliwahi kuuawa akiwa Iran kwa kutegewa bomu chini ya kitanda,
 
Pia Israel wapo vizuri sana kwenye kuchunguza vyombo vinavyotumia chip za computer, makampuni mengi makubwa ya simu na kompyuta (Samsung, Iphone, Dell, Hp, Microsoft, n.k) yana vituo vyao vya utafiti nchini Israel hasa katika kubuni na kuboresha teknolojia za bidhaa zao ila viwanda vipo China, hilo linaibua maswali ya kimkakati. Inawezekana kabisa kwamba ndani ya mnyororo huu wa ubunifu wa kiteknolojia, kuna uwekaji wa milango fiche (backdoors) au mifumo ya ufikiaji wa siri ambayo inaweza kutumiwa kwa maslahi ya kijasusi.
Na tatizo la sasa kila kitu ni dijitali kwahiyo hata ukitumia tu youtube basi umeshauza location.

So inakubidi mtumie mbinu za zamani kama kuonana uso kwa uso ili kufikisha ujumbe ambako itakuzalimu utoke kwenye mahandaki so unakua exposed kwa satellites, surveillance drones mwishowe unadunguliwa hadharanj kama Ali Larijani au Qassem Solemaini.

Either way ni hatari tu kupambana kwenye enzi za teknolojia. Na tunapoelekea hata maroboti yatatumika vitani na sio askari wa kawaida.
 
Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.

Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?

  • Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran
  • Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
  • Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
  • Esmail Khatib — Waziri wa Ujasusi
  • Aziz Nasirzadeh — Waziri wa Ulinzi
hao ni baadhi tu, list ni ndefu sana
Israel kwenye ujasusi wapo vizuri na wameweza kuwasoma wairani kwa muda mrefu na kuweza kujua kila kiongozi wa Irani na nyendo zake. Ndiyo maana walipoanzisha vita walijua wataleta madhara makubwa, lakini kutokana wairani wana taasisi imara ndiyo maana hata viongozi walikifa wanakuja wengine kundeleza walipoachia.
Na wairani hawajali kufa, na wana idadi ya wakimbizi takriban milioni tatu, kuna baadhi yao ni makachero wa kizayuni.
 
Na tatizo la sasa kila kitu ni dijitali kwahiyo hata ukitumia tu youtube basi umeshauza location.

So inakubidi mtumie mbinu za zamani kama kuonana uso kwa uso ili kufikisha ujumbe ambako itakuzalimu utoke kwenye mahandaki so unakua exposed kwa satellites, surveillance drones mwishowe unadunguliwa hadharanj kama Ali Larijani au Qassem Solemaini.

Either way ni hatari tu kupambana kwenye enzi za teknolojia. Na tunapoelekea hata maroboti yatatumika vitani na sio askari wa kawaida.
kuna tetesi hata hii chat gpt ina mkono wa Israel,

hii video inaonyesha logo mbili za chat gpt zikigeuzwa na kuungwa kuna alama ya nyota ya kwenye bendera ya Israel

View: https://www.youtube.com/watch?v=YCBfAibDiuU
 
Back
Top Bottom