Inakuaje viongozi wa Iran wanauawa sana, ni kwamba hawawezi kujilinda au wanafeli wapi ?

Inakuaje viongozi wa Iran wanauawa sana, ni kwamba hawawezi kujilinda au wanafeli wapi ?

Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.

Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?

  • Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran
  • Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
  • Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
  • Esmail Khatib — Waziri wa Ujasusi
  • Aziz Nasirzadeh — Waziri wa Ulinzi
hao ni baadhi tu, list ni ndefu sana
Yani hao watu kufia vitani kwao ni thawabu nafikiri unazijua sumu za kiamani zikiingia kwenye akili kwa hiyo hao viongozi hawajifichi
 
Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.

Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?

  • Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran
  • Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
  • Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
  • Esmail Khatib — Waziri wa Ujasusi
  • Aziz Nasirzadeh — Waziri wa Ulinzi
hao ni baadhi tu, list ni ndefu sana
Palantir and Anthropic's Claude AI are used together by defense and intelligence agencies to
accelerate target identification and operational planning, notably integrated within Palantir's Maven Smart System. This collaboration allows military analysts to process vast, disparate data streams—satellite imagery, drone video, signals intelligence, and reports—into actionable target packages in near-real-time.
X
X +3
How They Work Together to Find Targets
  • Palantir Maven Smart System (Data Fusion): Maven acts as the foundational layer, aggregating intelligence from up to 179 different sources. It applies computer vision to satellite and drone imagery to automatically detect, geolocate, and identify potential enemy objects, such as armored vehicles or missile launchers.
  • Claude AI (Reasoning and Synthesis):Claude is integrated as an "AI Agent" within Palantir’s Artificial Intelligence Platform (AIP). It acts as a conversational assistant for analysts, querying the data indexed by Palantir, summarizing massive intelligence reports, and recommending targets based on operational importance.
  • Target Prioritization and Workflow:Claude helps rank potential targets by threat level and generates "courses of action" (COAs). A user can ask the chatbot to identify enemy units in a region, and Claude can suggest options like air strikes or jamming, significantly speeding up the "kill chain".
  • Speeding the "OODA" Loop: The combination transforms processes that previously took days or weeks into near-real-time operations, allowing for rapid targeting, such as the reported 1,000 targets struck in the first 24 hours of operations in Iran.
    WIRED
    WIRED +4
Key Applications
  • Iran Campaign (2026): Reports indicate this system was used to identify and strike over 1,000 targets within 24 hours during operations against Iran.
  • Venezuela (2026): Claude reportedly played a role in the operation leading to the capture of Venezuelan president Nicolás Maduro.
  • Ukraine (2022-Present): Palantir’s platform has been used to process satellite intelligence for Ukrainian forces.
    WIRED
    WIRED +2
Operational Role
While Palantir provides the data infrastructure and computer vision, Claude functions as the "reasoning engine" within the chatbot interface. This system does not automatically trigger weapons but provides prioritized recommendations, leaving the final "approve" click to human operators.
 
Intelligence ya Iran imeoza full stop bla blah nyiiing uyo Rais WA sasa, hawaja amua tu kumua wakintaka Wana mtoa Roho muda wowote kama Ibrahim Rais.
 
Mimi pia najiuliza hili swali bila.majibu Kama unaunda Jeshi lenye maguvu kama IRGC mana kama Ni geshi la Malawi likipelekewa moto na US na Israhell nusu saa litakua chali....

Sasa IRGC na nguvu na akili zao wanashindwa nn kulinda Viongozi wao na Wakuu wa Nchi ya Iran???
 
Mimi pia najiuliza hili swali bila.majibu Kama unaunda Jeshi lenye maguvu kama IRGC mana kama Ni geshi la Malawi likipelekewa moto na US na Israhell nusu saa litakua chali....

Sasa IRGC na nguvu na akili zao wanashindwa nn kulinda Viongozi wao na Wakuu wa Nchi ya Iran???
Hivi unalinda vipi mashambulio ya yanaoyotokea angani Kwa ndege, zaidi ya kuactivate air defense systems na tukio ni wanvizia watu wako ofisini then inalipuliwa hapo ishu ni kuwa katika position ya kujua pre plan na pre attack which IRGC hajawekeza huko kwakua loss ya kiwanda kimoja Cha drone ni kubwa kuliko kiongozi kufa, kwahio ni about risk management nchi Ina watu 90milion
 
Back
Top Bottom