Hatari sana.Pesa mkuu, kama Mojtaba tu imewekwa USD 10 Million kwa atakayevujisha siri za alipo sasa hizo ni zaidi ya TZS 23 Billion nani akatae kwa nchi za ulimwengu wa tatu?
CIA na Mossad zinapata ujasusi mwingi sio sababu ya uwepo wa assets zao ila pesa inatumika sana kununua taarifa.
Kumbuka hawa makamanda wana wake zao, watoto, mashemeji, michepuko, wapinzani n.k so anybody anaweza kutumika.
Il pia analysis yako inaweza kuwa biased, mfano Masoud Pezzeshkian yaani Rais wa Iran mwaka jana walijaribu kumuua zaidi ya mara 3 ila zote alikua anatonywa na majausi wa Iran kuwa atoke alipokaa na each time ka survive kifo.Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.
Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?
hao ni baadhi tu, list ni ndefu sana
- Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran
- Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
- Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
- Esmail Khatib — Waziri wa Ujasusi
- Aziz Nasirzadeh — Waziri wa Ulinzi
Pia Israel wapo vizuri sana kwenye kuchunguza vyombo vinavyotumia chip za computer, makampuni mengi makubwa ya simu na kompyuta (Samsung, Iphone, Dell, Hp, Microsoft, n.k) yana vituo vyao vya utafiti nchini Israel hasa katika kubuni na kuboresha teknolojia za bidhaa zao ila viwanda vipo China, hilo linaibua maswali ya kimkakati. Inawezekana kabisa kwamba ndani ya mnyororo huu wa ubunifu wa kiteknolojia, kuna uwekaji wa milango fiche (backdoors) au mifumo ya ufikiaji wa siri ambayo inaweza kutumiwa kwa maslahi ya kijasusi.Pesa mkuu, kama Mojtaba tu imewekwa USD 10 Million kwa atakayevujisha siri za alipo sasa hizo ni zaidi ya TZS 23 Billion nani akatae kwa nchi za ulimwengu wa tatu?
CIA na Mossad zinapata ujasusi mwingi sio sababu ya uwepo wa assets zao ila pesa inatumika sana kununua taarifa.
Kumbuka hawa makamanda wana wake zao, watoto, mashemeji, michepuko, wapinzani n.k so anybody anaweza kutumika.
US offers $10M reward for info on Iran’s new supreme leader, top IRGC officials
The U.S. is offering a $10 million reward for intel on Iran's new Supreme Leader Mojtaba Khamenei and IRGC officials accused of attacks against Americans.www.foxnews.com
Hiyo kauli ni ya juu juu sana, reality ya ground iko tofauti kabisa.Hawaogopi kufa na hawaogopi kutangaza kifo
Na tatizo la sasa kila kitu ni dijitali kwahiyo hata ukitumia tu youtube basi umeshauza location.Pia Israel wapo vizuri sana kwenye kuchunguza vyombo vinavyotumia chip za computer, makampuni mengi makubwa ya simu na kompyuta (Samsung, Iphone, Dell, Hp, Microsoft, n.k) yana vituo vyao vya utafiti nchini Israel hasa katika kubuni na kuboresha teknolojia za bidhaa zao ila viwanda vipo China, hilo linaibua maswali ya kimkakati. Inawezekana kabisa kwamba ndani ya mnyororo huu wa ubunifu wa kiteknolojia, kuna uwekaji wa milango fiche (backdoors) au mifumo ya ufikiaji wa siri ambayo inaweza kutumiwa kwa maslahi ya kijasusi.
Israel kwenye ujasusi wapo vizuri na wameweza kuwasoma wairani kwa muda mrefu na kuweza kujua kila kiongozi wa Irani na nyendo zake. Ndiyo maana walipoanzisha vita walijua wataleta madhara makubwa, lakini kutokana wairani wana taasisi imara ndiyo maana hata viongozi walikifa wanakuja wengine kundeleza walipoachia.Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.
Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?
hao ni baadhi tu, list ni ndefu sana
- Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran
- Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
- Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
- Esmail Khatib — Waziri wa Ujasusi
- Aziz Nasirzadeh — Waziri wa Ulinzi
Na ndugu yake faudaUkitaka kujua zaidi tazama hii series ilishaelezea kila kitu Cc Mr Q dosho12 Seran View attachment 3562616
Kabisa naunga mkono hojaNa ndugu yake fauda
kuna tetesi hata hii chat gpt ina mkono wa Israel,Na tatizo la sasa kila kitu ni dijitali kwahiyo hata ukitumia tu youtube basi umeshauza location.
So inakubidi mtumie mbinu za zamani kama kuonana uso kwa uso ili kufikisha ujumbe ambako itakuzalimu utoke kwenye mahandaki so unakua exposed kwa satellites, surveillance drones mwishowe unadunguliwa hadharanj kama Ali Larijani au Qassem Solemaini.
Either way ni hatari tu kupambana kwenye enzi za teknolojia. Na tunapoelekea hata maroboti yatatumika vitani na sio askari wa kawaida.
I like FAUDA.Na ndugu yake fauda
Mr kipara ana wenge la hatari 😅I like FAUDA.
Season 4 nimecheki ep moja tu nyingine nimezikosaUkitaka kujua zaidi tazama hii series ilishaelezea kila kitu Cc Mr Q dosho12 Seran View attachment 3562616
Nimeshaiona naomba niirudie🤗Ukitaka kujua zaidi tazama hii series ilishaelezea kila kitu Cc Mr Q dosho12 Seran View attachment 3562616
Mwisho season 3 kaka kule kwenye uzi wetu niliweka link ya season 3 ina ep 8 tu afu zimeisha juzi tuSeason 4 nimecheki ep moja tu nyingine nimezikosa
Season 3 umemaliza yote😎Nimeshaiona naomba niirudie🤗