Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
πππππ Daaahkuna tetesi hata hii chat gpt ina mkono wa Israel,
hii video inaonyesha logo mbili za chat gpt zikigeuzwa na kuungwa kuna alama ya nyota ya kwenye bendera ya Israel
View: https://www.youtube.com/watch?v=YCBfAibDiuU
Hapana bado! Vin hebu ngoja nifanye hiyo kazi muda huu, gladiator 3 imeshatoka?Season 3 umemaliza yoteπ
Fauda umeicheki?
BadoHapana bado! Vin hebu ngoja nifanye hiyo kazi muda huu, gladiator 3 imeshatoka?
Yani hao watu kufia vitani kwao ni thawabu nafikiri unazijua sumu za kiamani zikiingia kwenye akili kwa hiyo hao viongozi hawajifichiImeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.
Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?
hao ni baadhi tu, list ni ndefu sana
- Ali Khamenei β Kiongozi Mkuu wa Iran
- Ali Shamkhani β Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
- Ali Larijani β Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
- Esmail Khatib β Waziri wa Ujasusi
- Aziz Nasirzadeh β Waziri wa Ulinzi
Kufia vitani kwao ni thawabu ndiyo maana hawajifichiHawaogopi kufa na hawaogopi kutangaza kifo
kama kwao kufa ni kitu cha kawaida basi hawaitaji hata mabodigadi wala kulindwa na teknolojiaYani hao watu kufia vitani kwao ni thawabu nafikiri unazijua sumu za kiamani zikiingia kwenye akili kwa hiyo hao viongozi hawajifichi
Ni season 3 kweli nimeishia yule msichana anapigana na jmaa flani kwenye basi ni ep ya kwanza sio ndio au nachanganyaMwisho season 3 kaka kule kwenye uzi wetu niliweka link ya season 3 ina ep 8 tu afu zimeisha juzi tu
Yeah ndio hiyo hiyo ep ya kwanza bibi zimemalizika zote 8 kwa sasa mzigo upo hewaniNi season 3 kweli nimeishia yule msichana anapigana na jmaa flani kwenye basi ni ep ya kwanza sio ndio au nachanganya
Palantir and Anthropic's Claude AI are used together by defense and intelligence agencies toImeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.
Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?
hao ni baadhi tu, list ni ndefu sana
- Ali Khamenei β Kiongozi Mkuu wa Iran
- Ali Shamkhani β Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
- Ali Larijani β Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
- Esmail Khatib β Waziri wa Ujasusi
- Aziz Nasirzadeh β Waziri wa Ulinzi
Hiki kigongo weka mbali na watoto. Mkuu kina kigongo Gani kikali kuliko hiki?Ukitaka kujua zaidi tazama hii series ilishaelezea kila kitu Cc Mr Q dosho12 Seran View attachment 3562616
Zipo nyingi sana tafuta hiziHiki kigongo weka mbali na watoto. Mkuu kina kigongo Gani kikali kuliko hiki?
Hii spy ni wachina?Zipo nyingi sana tafuta hizi
Spy
Homeland
Person of Interest
No siyoHii spy ni wachina?
Hivi unalinda vipi mashambulio ya yanaoyotokea angani Kwa ndege, zaidi ya kuactivate air defense systems na tukio ni wanvizia watu wako ofisini then inalipuliwa hapo ishu ni kuwa katika position ya kujua pre plan na pre attack which IRGC hajawekeza huko kwakua loss ya kiwanda kimoja Cha drone ni kubwa kuliko kiongozi kufa, kwahio ni about risk management nchi Ina watu 90milionMimi pia najiuliza hili swali bila.majibu Kama unaunda Jeshi lenye maguvu kama IRGC mana kama Ni geshi la Malawi likipelekewa moto na US na Israhell nusu saa litakua chali....
Sasa IRGC na nguvu na akili zao wanashindwa nn kulinda Viongozi wao na Wakuu wa Nchi ya Iran???