National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Na huenda akawa na maana ingineNaamini unatania tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huenda akawa na maana ingineNaamini unatania tu
Watakuwa kama si kuchapiwa basi wamebambikiwa huyo mtoto maana haiwezekani kabisa[emoji16]Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Mi nimekuelewa mkuu...Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Akifikisha miaka 15 au 16Huwa zinatokea akibalehe kama ndevu na mavuzi tu.
Ndoa nyingi siku hizi hazina uaminifu kabsaWatakuwa kama si kuchapiwa basi wamebambikiwa huyo mtoto maana haiwezekani kabisa[emoji16]