Inakuaje wazazi wenye tattoos mwili mzima wanazaa Mtoto asiyekuwa na tattoo hata moja?

Inakuaje wazazi wenye tattoos mwili mzima wanazaa Mtoto asiyekuwa na tattoo hata moja?

Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.

Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Watakuwa kama si kuchapiwa basi wamebambikiwa huyo mtoto maana haiwezekani kabisa[emoji16]
 
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.

Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Mi nimekuelewa mkuu...

Japo utachekwa sana na kubezwa....

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] ...na huyo mtoto mpe muda tu. Watoto huiga tabia za wazazi wao naye akikua kuna uwezekano mkubwa kuwa atajichora tattoo mwili mzima.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]maisha ni magumu aise
 
Dah! Kumbe jf in vilaza wa hivi jamani??? Mtoa mada amezingua Sana kwa kweli,,,Ina maana kaisha darasa la nne tu na Wala hajawahi kumbana na kitu kinaitwa Genetics & DNA.
 
msaga sumu bila shaka hili ni fumbo, tukupe mji, utupe jibu
 
Back
Top Bottom