johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ok na hiyo ndio demokrasia!Juzi CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION( CDU) chama cha Angela Merkel kilikuwa kinafanya uchagizi wa kumchagua kiongozi wa chama baada ya Merkel kukiongoza chama hicho kwa miaka 18. Na ni chama chenye kufuata democracy. Huku kwetu ni mitazamo tu. CCM toka kuanzishwa kwake kimekuwa na webyeviti watano toka mwaka 1977. Chadema toka kuanzishwa kwake kimekuwa na wenyeviti watatu kuanzia mwka 1992 .Sioni tatizo. Ukiangalia uwiano na CCM ni sawa tu
KC ndio mmiliki wa chama uchaguzi wa nini tena?!Bora mbowe bado chama chake kinachaguzi japo haina ukomo je, ATC kiongozi mkuu wa chama asiyechakuguliwa ataishi hiyo nafasi mpka lini??
Mkuu unamaanisha ni kota pini?mbowe ndani ya chadema ni kama museven ndani ya uganda,hatoki kwa karatasi pasipo mtutu.
Dj na genge lake la mafisadi ndio malaika? Tumia akili kufikiri acha kukariri.VipiqMbowe alichaguliwa na wanachadema na si maccm,hata akikata miaka 100 kwasababu wanachama ndo wanaomchagua,ninyi endeleeni kuunga mkono mashetani .
Dj na genge lake la mafisadi ndio malaika? Tumia akili kufikiri acha kukariri.
una akili finyu kabisa , akili kama za djWew ni kilaza,endelea kuunga mkono kenge ya ikulu.
una akili finyu kabisa , akili kama za dj
Pambaf , ndio maana umetekwa na akili za djWew kenge ya lumumba
Wew kenge ya lumumba
Mbowe wewe anakuwasha nini figisu za kuharibu mashamba yake kuvunja billican na mambo mengine kama hayo hiyo ni dalali njema? Mbowe hawezi kuachia chama na wala usirarajie iwe hivyo kwa kuwa nyie wote ni fikra za kule kwa kijani pandikizenia huko cuf na kwingine ila siyo chama kama cdm inakuwaje maccm yatake mbowe aachie ngazi?nyie pambaneni na maendeleo ya vitu huku umaskini ukiongezeka kwa kasi.Ni kweli huu utetezi wa wanacdm wengi kuhusu Mbowe kukaa muda mrefu madarakani. Lakini tujiulize je ni kweli bila Mbowe cdm itayumba? Hivi inge/ikitokea Mbowe akafariki ndio mwisho wa cdm? Hivi hatuona kuwa kitendo cha Mbowe kumleta Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais ni ndio imechangia leo hii cdm kuongea kitu na watawala kuwapuuza? Huwezi kufananisha cdm ya kabla ya Lowassa na cdm baada ya kuwasili Lowassa. Inahitaji ushabiki wa kisiasa kuendelea kumpigia debe Mbowe kuwa mwenyekiti. Ni kweli amefanya mazuri mengi sana kukifikisha chama hapo kilipo, lakini kiukweli sasa ni wakati wa yeye kukaa pembeni na wala sio kwa matakwa ya ccm bali kutokana na uhalisia tu.
Sultan ( kar. سلطان sultan 🙂 is the title of Islam the ruler of the land, who inherited his position as king. Hiyo ndio mana halisi ya usultani kwa maana ya kitenzi. Unapozungumza usultani wa Mr Mbowe unamanisha nini? waungwana tujitahidi kuandika vitu vya msingi. Tafiti jambo kabla ya kuliteta kwa uma.(JAMII).