Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Juzi CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION( CDU) chama cha Angela Merkel kilikuwa kinafanya uchagizi wa kumchagua kiongozi wa chama baada ya Merkel kukiongoza chama hicho kwa miaka 18. Na ni chama chenye kufuata democracy. Huku kwetu ni mitazamo tu. CCM toka kuanzishwa kwake kimekuwa na webyeviti watano toka mwaka 1977. Chadema toka kuanzishwa kwake kimekuwa na wenyeviti watatu kuanzia mwka 1992 .Sioni tatizo. Ukiangalia uwiano na CCM ni sawa tu
Ok na hiyo ndio demokrasia!
 
Hahaha uchochezi huo......hiyo si familia.....ya mzee wa migombani hivyo mkwe aki kaa hata miaka 50 ipo safi....
 
Ila Mbowe nafasi yako ungetafuta mrithi, kila chaguzi ni wew tu. Wengine hawapo?
 
Shida Ni ule uhuni uliotumika kuondoa ukomo wa Chairman kwenye katiba na wale wote waliohoji wakatimuliwa kina Slaa waliojitoa fahamu ili wamfurahishe Sultan wakaletewa uhuni mwingine 2015 hata hao wapiga zumari waliobaki watakuja kutoka kwa fedheha kama wenzao.Endeleeni kukenulia ujinga time will tell.
 
VipiqMbowe alichaguliwa na wanachadema na si maccm,hata akikata miaka 100 kwasababu wanachama ndo wanaomchagua,ninyi endeleeni kuunga mkono mashetani .
Dj na genge lake la mafisadi ndio malaika? Tumia akili kufikiri acha kukariri.
 
Ni kweli huu utetezi wa wanacdm wengi kuhusu Mbowe kukaa muda mrefu madarakani. Lakini tujiulize je ni kweli bila Mbowe cdm itayumba? Hivi inge/ikitokea Mbowe akafariki ndio mwisho wa cdm? Hivi hatuona kuwa kitendo cha Mbowe kumleta Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais ni ndio imechangia leo hii cdm kuongea kitu na watawala kuwapuuza? Huwezi kufananisha cdm ya kabla ya Lowassa na cdm baada ya kuwasili Lowassa. Inahitaji ushabiki wa kisiasa kuendelea kumpigia debe Mbowe kuwa mwenyekiti. Ni kweli amefanya mazuri mengi sana kukifikisha chama hapo kilipo, lakini kiukweli sasa ni wakati wa yeye kukaa pembeni na wala sio kwa matakwa ya ccm bali kutokana na uhalisia tu.
Mbowe wewe anakuwasha nini figisu za kuharibu mashamba yake kuvunja billican na mambo mengine kama hayo hiyo ni dalali njema? Mbowe hawezi kuachia chama na wala usirarajie iwe hivyo kwa kuwa nyie wote ni fikra za kule kwa kijani pandikizenia huko cuf na kwingine ila siyo chama kama cdm inakuwaje maccm yatake mbowe aachie ngazi?nyie pambaneni na maendeleo ya vitu huku umaskini ukiongezeka kwa kasi.
 
Mbowe ndie wanaemuogopa sana kwa propaganda za kumtoa kwenye kiti wameshindwa kuharibu mali zake wameshindwa plan B ni kumsakizia kesi na hiyo inaelekea kushindwa mbowe hatotoka mpaka ccm waondoke
 
Sofa za Sultan hachaguliwi
Sultan ni Wa kudumu
Sultan ni Wa maisha
Sultan ndiye alfa na omega
Sultan ni Sisters
Sultan ndiyo mwamzi Wa mwisho
Je M/kiti Wa Chadema ni Sultan???
 
Sultan ( kar. سلطان sultan 🙂 is the title of Islam the ruler of the land, who inherited his position as king. Hiyo ndio mana halisi ya usultani kwa maana ya kitenzi. Unapozungumza usultani wa Mr Mbowe unamanisha nini? waungwana tujitahidi kuandika vitu vya msingi. Tafiti jambo kabla ya kuliteta kwa uma.(JAMII).
 
It is a question, what we need is the answer and not otherwise. failure to it is absolutely negative reactions.
Sultan ( kar. سلطان sultan 🙂 is the title of Islam the ruler of the land, who inherited his position as king. Hiyo ndio mana halisi ya usultani kwa maana ya kitenzi. Unapozungumza usultani wa Mr Mbowe unamanisha nini? waungwana tujitahidi kuandika vitu vya msingi. Tafiti jambo kabla ya kuliteta kwa uma.(JAMII).
 
Back
Top Bottom