Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Huwezi ukasimama mbele ya hadhara na kudai kuwa eti niliwekeza pesa zangu ili kuimarisha chama na kukijenga hivyo niwe mwenyekiti wa maisha. Hapana huu sio uungwana wa kisiasa.

Leo hii watanzania wengi hawana imani na wewe sababu walishatambua kuwa wewe unatumia Chadema kupata manufaa kiuchumi. Kwa hivyo ni wazi kuwa haufai kabisa. Pisha kuwa kiongozi.
Waliokutuma watakwambia kazi imekushinda
 
Back
Top Bottom