Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

Wabunge wa upinzani hasa chadema wakisimama bungeni wanatema madini kiasi kwamba unatamani waendelee kuongea wakati wa upande wa pili wakisimama ni "praise and worship" unadhani mkuu haoni? Na ndio maana ikitokea wamehamia upande wa kijani kupata teuzi ni rahisi.
 
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.

Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.

Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.

Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.

Maendeleo hayana vyama!
Meko anapenda visasi kwahiyo kamteua mwigulu na huyo mjinga molel,ila kukomoa wabaya wake humo ccm.
Wafia chama wamebaki kubweka humu mitandaoni huku kwa msongo mkubwa wa mawazo,2020 utaona mbatia anapewa uwaziri na wafia chama wakibaki hapo lumumba wanashindia alkasusa na chips dume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.

Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.

Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.

Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.

Maendeleo hayana vyama!
Bandiko lako walione

1. King Msukuma mzee wa bange iruhusiwe....ila walau jamaa pamoja na elimu yake anajitahidi hoja kuliko hao wengine. Sema ndiyo haaminiki kitaifa.

2. Lusinde..... huyu ni bomu kabisa.

Wengine ongezeeni ...

Sent using iphone pro max
 
Mibunge ya CCM ukiiyona kwenye harakati uchaguzi utacheka,,yaani wao kuimba iyena iyena tu hakuna cha Ziada kwao,waache waliotoka chama makini wapate teuzi tu ili hali wao wakiishia kugonga meza bungeni.

misasa ila mkuu nakuonea huruma unavyokipigania chama lakini mkuu teuzi zinaota mbawaa..karibu shambani mkuu kusifu na kuabudu kwenye mapambio hutotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.

Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.

Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.

Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.

Maendeleo hayana vyama!
Hahahah! Kumbe mmeanza kupata akili sasa.
Ndiyo maana mambo hayaendi!
Umbumbumbu umekuwa mzigo mzito kwenu.
Tulisema itafika siku tutaongea lugha moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.

Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.

Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.

Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi hapa unateua nini ?
2306076_1572191514899.jpeg
 
Ukweli ni kwamba CCM ni Mbuzi ya kukunia Nazi! Wabunge wengi wa CCM wamekunwa na kubaki vifuu vya Nazi! Mmoja alikuwa Professor Sasa anasema hadharani kuwa aliokotwa Jalalani.
Kwa hiyo wabunge wa sisiemu wanafaa kwa kuwashia moto!??
 
Back
Top Bottom