Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema
Waitara alikua ccm,akaenda chadema halafu akarudi
Katiba haimpangii Rais wateule,hao wote ni ccm,hata mbowe anayo.kadi ya ccm
 
Mtatiro DC , SLAA balozi , Polepole katibu mwenezi ! sasa nyie mtakuwa wapiga deki hadi lini ?
Unakumbuka slaa alikua ccm,akakatwa akapewa patrick Qorro,yeye akatimkia chadema?
Mtatiro ameshakiri yeye alikua ccm kindaki ndaki
Pole pole hakuwahi kuwa mpinzani
 
Sasa wabunge wenyewe % kubwa ndio design ya kina Msukuma,Kibajaji,Mlinga wanaotaka sanamu la dayamondi ndio wapewe uwaziri na unaibu? Bora hata alivyopewa Dr Shika Mollel ingawa naye ndio wale wale joker.
 
Fikiria zitto anaunga juhudi, yaani uwaziri Wa fweza njenje Anapewa, asubuhi tu.Kiukweli upinzani kuna vichwa.
 
Aina ya wabunge iliyo nayo CCM ni

1. Aina ya akina Nchambi- majangiri

2. Akina Kibajaji na Mssukuma- hawana elimu

3. Akina Mwigulu- wanaelimu lakini hawaitumii bali silaha ni kusifu na kuabu mamlaka ya uteuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mataga mwenye ufahamu timamu wa kuweza kuhoji hiki alichohoji @johnthebaptist,hakuna hakuna,hakuna.
Roho inauma inakuwaje mtu anachagua wengine ambao wamekuwa wakipinga fikra za wenyeviti miaka chungu mbovu ilihali mataga wapo wanaokubali fikra za wenyekiti bila kuhoji kwa miaka nenda rudi?.
 
Ahahahahhahahahahah mimi ni mganda naelewa Chiswahili chidogo, nawona hichi ni Chitumbafu
 
Ntafute pm nikwambie kwanini

kIongOzI Wa BaaDae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…