Inakuwaje imani fulani zika shikilia sana kuhusu pombe ni haramu sio vilevi vingine pamoja na ngono

Inakuwaje imani fulani zika shikilia sana kuhusu pombe ni haramu sio vilevi vingine pamoja na ngono

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu.
Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar.

Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi kubwa ni upande huu.Ndio maana ikifika karibia na mfungo watu ufunga ndoa kwa madhumuni ya kujipatia burudani.

Lakini sijawai kusikia haya yakikemewa misikitini na sehemu nyingi zaidi kukomalia tu kitimoto na pombe ndio haramu.

Je kama wakifanya hivi wanaweza kupunguza haya.
 
Uovu na dhambi zimefanywa kuwa kitu cha kawaida.
Hebu sema hapa jukwaani kuwa wewe ni mwanaume na hupelekei moto madem kama hujachekwa.

So uzinzi na mengineyo kama huyafanyi unaonekana bonge la mshamba boya flani hivi...

Wanasema huli madem, huli hotseat, hubet,hunywi pombe sa unaenjoy vipi maisha.
 
Uovu na dhambi zimefanywa kuwa kitu cha kawaida.
Hebu sema hapa jukwaani kuwa wewe ni mwanaume na hupelekei moto madem kama hujachekwa. So uzinzi na mengineyo kama huyafanyi unaonekana bonge la mshamba boya flani hivi... Wanasema huli madem, huli hotseat, hubet,hunywi pombe sa unaenjoy vipi maisha.
Kura tundra kimasihara!
 
Back
Top Bottom