Uovu na dhambi zimefanywa kuwa kitu cha kawaida.
Hebu sema hapa jukwaani kuwa wewe ni mwanaume na hupelekei moto madem kama hujachekwa. So uzinzi na mengineyo kama huyafanyi unaonekana bonge la mshamba boya flani hivi... Wanasema huli madem, huli hotseat, hubet,hunywi pombe sa unaenjoy vipi maisha.