FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sehemu kama hizo watu wanafata ma-anti ushaelewaHuwa sipendi sehemu mnaenda mnabanana utafikiri bia mnapewa bure.
Hapo park kuna totoz kibao za UdCalabash, 5N, Catalunya, Mawasiliano park pameshadoda
Muda mwingine ni ulimbukeni tu wa chimbo jipya au chimbo linalovuma. Mbona hao ma-anti wapo kila sehemu, kila aina na kila bei unayotaka!Sehemu kama hizo watu wanafata ma-anti ushaelewa
Mbona za zamani sana izi bwasheee zishachujaaaaCalabash, 5N, Catalunya, Mawasiliano park pameshadoda
Wanywaji bia wako very complicated wakihama wanahama kama nzige na wakihamia ni hivyohivyo pia.Calabash, 5N, Catalunya, Mawasiliano park pameshadoda
Night clubs ni za watoto na wanachuo ambao hela zao za msimuHivi biashara ya night club ndio ilishakufa Dar es salaam?
Nafahamu mkuu lakini ninaomba kujua kama kuna sehemu bado zipo zinazobamba kwa mjini.Night clubs ni za watoto na wanachuo ambao hela zao za msimu
Ngoja wadau waje wakujuzenafahamu mkuu,lakini ninaomba kujua kam kuna sehemu bado zipo zinazobamba kwa mjini.
Hata ya Segerea ni hivyo hivyoYaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndio usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?!
Mmechinja mtu mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?!