fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
ni mziki,wanaeake na msosiYaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?