Sean Paul
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,330
- 3,289
Biashara ya bar ipe muda tu. Iko wapi soccer city?Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?