mkongwensibi
Senior Member
- Feb 1, 2022
- 133
- 215
Ipo sehemu gani nani nikatembee weekend hii??Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndio usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?!
Mmechinja mtu mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?!