Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Siku hizi hulogwi kuwa chizi unalogezewa unachokipenda. So ukiwa mnywaji unakuwa mlevi mbwa bar kila siku
 
Bado hujatoa Siri
 
 
Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?

Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Mara nyingi wauza utumbo wanakuwa wengi mahala kama hapo ndo mana panajaa,
Ila kukaa sehemu kama hiyo watu wengi kelele nyingi siwezi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…