Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

nafahamu mkuu,lakini ninaomba kujua kam kuna sehemu bado zipo zinazobamba kwa mjini.
Hyo Cha mtoto nenda Kitambaa Waiti Ya Tabata(Zamani maeda bar) utafurahi na Roho Yako.
.
Mmiliki anaitwa Jane Kikumbi, Mkinga Mmoja pisi Kali mnoo Ila bahati Mbaya amefunga Ndoa Mwaka Jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…