Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Wabongo hujawajua bado

Ova
 
Unayoyasema n sahih kabsa,mpaka unaweza ukawa unaenda kuwachungulia wateja wa mpinzan wako,utashangaa kukuta wengine ni washkaji zako,wengine maisha magumu unajiuliza mbona hawaji huku kwangu kwenye unafuu
 
Nasikia mwenye nayo ni Mkinga.......
 
The Great inajaza kuanzia saa 6 usiku mpaka kule bondeni
Kitambaa saa 2 ishajaza
Kama una akili timamu bora ukaenda The Great kuliko kitambaa cheupe sababu mambo yaliyopo kitambaa cheupe hata the great yapo isipokua mashoga tu
 
Kwahiyo mnataka kutuambia siri ya mafanikio ni ku-deploy mashoga wa kutosha site?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…