mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Element location inachangia nafikiriDar viwanja huwa vinakuja na kuondoka ila Elements iko kwenye peak miaka yote
Investment pia imefanyika kubwa
Wamewa target wateja hadi foreigners
Sasa mgeni aje aende tbt kitambaa cheupe lzm akuone mbali
Ova