Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Kuwahamisha wapinzani wa CCM kwenye mjadala muhimu wa kitaifa ni kazi rahisi sana. Jana walikuwa wanazungumzia mambo nyeti kuhusu bahari na madini kupewa wakorea ila leo wote kwa pamoja wanazungumzia kosa dogo lililofanywa na aliyechapisha na kupost taarifa ya ikulu. Ikitokea tena Amber Ruty akaachia "connection" ndo tayari inakuwa wapinzani wamepotezwa mazima kwenye mjadala nyeti
 
Wewe ulishaona wapi rais apatikane Kwa kurithishwa urithi akawa na mfuatiliaji na kuhoji mambo?chochote kinacholetwa mezani yeye ni ndiyo nimekubali.wafadhiri hata wakisema tuuzie Nchi Yako lazima atakubali tu.Toka nianze kuona uongozi enzi za Nyerere lakini hii a amu Iko legelege sana
 
hivi kuna chawa anayeweza akasimama kumtetea rais kwa kuteuwa marehemu?

Na kama rais anahujumiwa, hao watu ameshindwa kuwawajibisha?

Nb: Rais ni nembo ya taifa akipatwa na aibu, tumepata taifa zima.
 
Huenda adm wa ikulu mawasiliano hakuwa na info ya tukio la ajali.! Kwanza ajali imetokea siku moja au mbili kabla ya mkeka.! Ila wabongo tunapenda sana kutupiana lawama. Alafu pia jamaa hakuwa mtu maaru kuwa kila mtu atamjua kwa wakati ule ajali inatokea.! Sio kila kitu tunatupiana mawe wazee wangu kuna mistakes sio za kwenda viral kiasi hicho.!
 
Uonavyo wewe hilo ni suala dogo?

Kuna manufaa gani basi ya kutumia kodi lukuki za Watanzania ili kuhakikisha usalama na utendaji bora wa serikali, iwapo makosa kama haya ni ruksa?

Kama kosa kama hilo linaweza kutokea, tena kwenye mhimili muhimu kiasi hicho, kuna mangapi mengine ambayo yamejificha?
 
Kwa style hii wakoloni watabeba sana rasilimali zetu.
 
Rais anaweza Kupitia Kila kitu? Wewe unaweza?
 
Hii issue naona imeshikiwa bango.
Lakini serikli inazingua sana aisee.
 
Nmeomba hyo kazi naona umereact kwa emoji ya kicheko, was that funny?
 
MAMA ANATOSHA KAMA UNACHUKI HAMA NCHI
 
Huwa wanamchomekea maana hana muda wa kusoma na kutafiti kutwa yupo safarini, ina maana akina Biden hawana nauli za kusafiri muda wote wapo kwenye nchi zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…