Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Kama kafa juzi tunaweza kuwasamehe. Inaweza kutokea. Unakuta Tayari waliongea na muhusika na akacomfirm "yupo hai."
Silly excuse kama ni kweli no way hapo kujitetea unapaswa kujua in details kabla yakutoa public na hizi teuzi by the way wahusika hawana prio information kwa wengi wao wanakutana na mikeka unexpected
 
Silly excuse kama ni kweli no way hapo kujitetea unapaswa kujua in details kabla yakutoa public na hizi teuzi by the way wahusika hawana prio information kwa wengi wao wanakutana na mikeka unexpected
Na hili ni kosa kubwa sana. Inatakiwa wahusike wawe wanajulishwa na huu ndo utaratibu mzuri
 
Kwa mtu mzembe, hili jambo linaweza kutokea kwa sababu ni bahati mbaya. Lakini kwa wenye akili huu ni uzembe wa hali ya juu.
 
Huijui kazi ya Usalama wa Taifa wewe Mbwiga!!

Hiyo ni ofisi ya Rais ambayo inatakiwa kuwa makini Kila dakika na wakati wote!! Kama mteuliwa kafa siku Moja nyuma na ikulu Haina taarifa, ni vipi itakuwa na taarifa Maadui wanaoingia nchini??

Kwa akili yako nchi ikivamiwa na Wahuni utasema tulikuwa tumesinzia Kwa hiyo tusijali? Uchawa unawapofusha
 
That's fatal negligence kufanywa na top rank officer wa Ikulu.

Kwa watu serious, such negligence is beyond repair.

Inatoa reflection mbaya sana kwamba tunaongozwa na watu wa aina gani.

Kwani kwa teuzi mpya huwa hawafanyi vetting wala kuwapa prior notification wateuliwa?

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…