Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Nashauri, ili kuepusha unforeseeable inconveniences za aina hii again in future, Ikulu ifanye a most recent communication/notification kwa wateuliwa wote, closer to pdf release.

Ikulu ni taasisi kubwa mno with all means and resources. As such, haitakiwi kabisa kufanya shameful negligences za namna hiyo.

-Kaveli-
 
Kweli kabisa
 
Na wanatuambia eti ulipo tupo. Hii serikali ni aibu tupu yaani.
Kama wanashindwa kujua miongoni mwa wateuliwa kuna mtu hayupo tena duniani wataweza kweli kusimamia rasilimali za nchi duh awamu hii watz tumepatwa.
 
Hii inaonyesha kwenye uteuzi hakuna umakini na kuna makosa mengi tu yanafanyika. Hili tumejua kwa sababu ni marehemu, kuna hao wengine hawana sifa na kila aina ya makandokando. Tukisema rais apunguziwe watu anaoteua wanapinga.
 
Wanipe hiyo nafasi mimi
 
Yote haya yamewezekana Kwa sababu mteuaji Huwa hajishughulishi kuwafahamu anaowateua.majina ya wanaoteuliwa Huwa Yana Toka msoga.hivyo,yeye Huwa hawajui anaowateua
 
Siku hizi
Yote haya yamewezekana Kwa sababu mteuaji Huwa hajishughulishi kuwafahamu anaowateua.majina ya wanaoteuliwa Huwa Yana Toka msoga.hivyo,yeye Huwa hawajui anaowateua
Msoga na Kizimkazinni Mbingu na Ardhi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…