Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi

How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?

View attachment 3010470
This shows complete lack of seriousness.Yaani utadhani hakuna watu wengine,mpaka marehemu wanagawiwa vi-box!!Nchi ya kufikirika hii.Wanacho waza ni kupiga tu.
 
Bw. MILTON LUPA KENDE MALAMU!

Huyu Jamaa mwanzoni alikuwa;

1. Mkurugenzi wa NFRA, baadaye akawa

2. Mkurugenzi wa NBAA

3. Akiwa NBAA ndo akateuliwa kuwa Mkurugenzi wa VETA Tanzania.

4. Uteuzi huo aliupata siku ya Ijumaa tarehe 31.05.2024.

5. Siku ya tarehe 02.06.2024 akiwa njiani kutoka Tanga kuja Dodoma kuripoti kuwa Mkurugenzi wa VETA akapata ajali ya gari maeneo ya Dumila Morogoro na kufariki Dunia.

6. Kumbe Jumatatu angeripoti na kuanza kazi kwa siku ya Jumanne na Jumatano jana tu leo angepata uteuzi huu mpya.

Apumzike kwa amani.
 
Wanateuliwa hadi marehemu, nchi ngumu hii

Hapo Dumila palimwondoa Sokoine.

Veta alikaa sana Zebadia Stefano Moshi.

Akastaafu akapita Bwana mmoja sasa yuko boss chuo kikuu kimoja bongo.

Veta inaogopa au haiwataki wakurugenzi.

Rest Well boss.
 
Mbona mimi nilikuwa nampigia mfanyakazi wangu wa zamani nilitaka nimrudishe kazini nimeshampangia kila kitu, kupiga simu kimyaa nikaona nimpigie Rafiki yake, Fulani yupo wapi nampigia simu imezimwa... kama kashangaa hivi, ananiambia jamaa tumeanza kumsahau kafariki kama mwezi hivi ajali ya boda boda. Anyway unajuwa kuna watu sio maarufu huyu kama sio teuzi hizi si ajabu hata tusingejuwa kama amefariki. Lakini leo tunajuwa amefariki sababu ya teuzi tu.

Sasa watu wa teuzi wanakuwa na majina mengi marehemu hakuwa maarufu si ajabu na wao leo ndio wamejuwa huyu mtu kafariki. Kuna watu hawajakata roho nchi nzima watajuwa sababu ya kujulikana majina yao yanauza wengine hawajulikani na majina hayauzi. Marehemu kapata kick leo kila mtu atatoa pole sababu ya teuzi...
Naomba hyo kazi boss.
 
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi

How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?

View attachment 3010470
Wa kina Lucas Mwashambwa na ma snitch wenzako inakuwaje wafu au maiti yanapata teuzi Ila kila siku mapimbio yakumsifia mama Abuduli mwisho wasiku munakunywa uji tuu...mavi yenu
 
Bw. MILTON LUPA KENDE MALAMU!

Huyu Jamaa mwanzoni alikuwa;

1. Mkurugenzi wa NFRA, baadaye akawa

2. Mkurugenzi wa NBAA

3. Akiwa NBAA ndo akateuliwa kuwa Mkurugenzi wa VETA Tanzania.

4. Uteuzi huo aliupata siku ya Ijumaa tarehe 31.05.2024.

5. Siku ya tarehe 02.06.2024 akiwa njiani kutoka Tanga kuja Dodoma kuripoti kuwa Mkurugenzi wa VETA akapata ajali ya gari maeneo ya Dumila Morogoro na kufariki Dunia.

6. Kumbe Jumatatu angeripoti na kuanza kazi kwa siku ya Jumanne na Jumatano jana tu leo angepata uteuzi huu mpya.

Apumzike kwa amani.
Kwahiyo possibly kifo chake si cha kawaida pia. Huenda alikuwa mwiba kila alikokuwa anapelekwa.

Uteuzi umefanyika huku kukiwa na timu nyingine inamwinda kumla kichwa na wakati anaenda kuripoti timu ya mauaji ikawa nayo imefanikiwa sasa ile taharuki wakajikuta wamemiss mawasiliano au mwenyezi Mungu tu akaamua kuwaumbua.

Naamini kifo chake kina utata sana.
 
Hapo Dumila palimwondoa Sokoine.

Veta alikaa sana Zebadia Stefano Moshi.

Akastaafu akapita Bwana mmoja sasa yuko boss chuo kikuu kimoja bongo.

Veta inaogopa au haiwataki wakurugenzi.

Rest Well boss.
Sokoine dakawa

Ova
 
Back
Top Bottom