Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Kwahiyo Kilolo wanaongozwa kutoka Mbinguni. Hahaaa . Kilolo wametuzidi. Wameingia kwenye rekodi za maajabu ya dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Kilolo wanaongozwa kutoka Mbinguni. Hahaaa . Kilolo wametuzidi. Wameingia kwenye rekodi za maajabu ya dunia
LABDA ATAFUFUKAUsilolijua
Kosa wamemteua marehemuHujui kitu wewe pimbi zaidi ya matusi tu. Kwani kosa liko wapi hapo?
This shows complete lack of seriousness.Yaani utadhani hakuna watu wengine,mpaka marehemu wanagawiwa vi-box!!Nchi ya kufikirika hii.Wanacho waza ni kupiga tu.Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
View attachment 3010470
Yaani unavyoona hayo madudu huko juu, ngazi zote no hivyo.Aaah usitujumuishe humo.
Bw. MILTON LUPA KENDE MALAMU!Wanateuliwa hadi marehemu, nchi ngumu hii
Rafiki wewe mwenyewe wa ndani unajua huwa sileti habari za uongo.Kabisa..
nje ya mada rafiki , halafu wale waliokubishia kuhusu tajiri na timu nadhani leo wameanza kujua ulichosema
Hapo Dumila palimwondoa Sokoine.Bw. MILTON LUPA KENDE MALAMU!
Huyu Jamaa mwanzoni alikuwa;
1. Mkurugenzi wa NFRA, baadaye akawa
2. Mkurugenzi wa NBAA
3. Akiwa NBAA ndo akateuliwa kuwa Mkurugenzi wa VETA Tanzania.
4. Uteuzi huo aliupata siku ya Ijumaa tarehe 31.05.2024.
5. Siku ya tarehe 02.06.2024 akiwa njiani kutoka Tanga kuja Dodoma kuripoti kuwa Mkurugenzi wa VETA akapata ajali ya gari maeneo ya Dumila Morogoro na kufariki Dunia.
6. Kumbe Jumatatu angeripoti na kuanza kazi kwa siku ya Jumanne na Jumatano jana tu leo angepata uteuzi huu mpya.
Apumzike kwa amani.
Mbona utata ,si alikuwa NFRA CEO?Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
View attachment 3010470
Naomba hyo kazi boss.Mbona mimi nilikuwa nampigia mfanyakazi wangu wa zamani nilitaka nimrudishe kazini nimeshampangia kila kitu, kupiga simu kimyaa nikaona nimpigie Rafiki yake, Fulani yupo wapi nampigia simu imezimwa... kama kashangaa hivi, ananiambia jamaa tumeanza kumsahau kafariki kama mwezi hivi ajali ya boda boda. Anyway unajuwa kuna watu sio maarufu huyu kama sio teuzi hizi si ajabu hata tusingejuwa kama amefariki. Lakini leo tunajuwa amefariki sababu ya teuzi tu.
Sasa watu wa teuzi wanakuwa na majina mengi marehemu hakuwa maarufu si ajabu na wao leo ndio wamejuwa huyu mtu kafariki. Kuna watu hawajakata roho nchi nzima watajuwa sababu ya kujulikana majina yao yanauza wengine hawajulikani na majina hayauzi. Marehemu kapata kick leo kila mtu atatoa pole sababu ya teuzi...
😭RIPMilton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
View attachment 3010470
Wengi mnafuata mkumbo hata hiyo katiba hamjaisoma na hamuijui na tukiwaambia tubadilishe vipengele gani vya katiba hamna majibuUjakua
Wa kina Lucas Mwashambwa na ma snitch wenzako inakuwaje wafu au maiti yanapata teuzi Ila kila siku mapimbio yakumsifia mama Abuduli mwisho wasiku munakunywa uji tuu...mavi yenuMilton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
View attachment 3010470
Kwahiyo possibly kifo chake si cha kawaida pia. Huenda alikuwa mwiba kila alikokuwa anapelekwa.Bw. MILTON LUPA KENDE MALAMU!
Huyu Jamaa mwanzoni alikuwa;
1. Mkurugenzi wa NFRA, baadaye akawa
2. Mkurugenzi wa NBAA
3. Akiwa NBAA ndo akateuliwa kuwa Mkurugenzi wa VETA Tanzania.
4. Uteuzi huo aliupata siku ya Ijumaa tarehe 31.05.2024.
5. Siku ya tarehe 02.06.2024 akiwa njiani kutoka Tanga kuja Dodoma kuripoti kuwa Mkurugenzi wa VETA akapata ajali ya gari maeneo ya Dumila Morogoro na kufariki Dunia.
6. Kumbe Jumatatu angeripoti na kuanza kazi kwa siku ya Jumanne na Jumatano jana tu leo angepata uteuzi huu mpya.
Apumzike kwa amani.
Sokoine dakawaHapo Dumila palimwondoa Sokoine.
Veta alikaa sana Zebadia Stefano Moshi.
Akastaafu akapita Bwana mmoja sasa yuko boss chuo kikuu kimoja bongo.
Veta inaogopa au haiwataki wakurugenzi.
Rest Well boss.