Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

Kwaiyo boss Kuna vitu viwili Nimekuelewa moja ni kuwa na akili mbili ni elimu? Kuna mtu anaweza na elimu ila Hana akili?? Na akili ambayo unaizungumzia hapa ni akili gani? Naturally au Ile ya kuwa civilized

Akili ni kile kinachobaki baada ya kutoa Elimu.

Akili mtu Yuko nayo, kuzaliwa nayo. Elimu Kazi yake ni kung'arisha na kuichochea Akili
Ni kama catalyst au tuseme Elimu ni kama enzymes kwenye ubongo
 
Huwezi kuwa mtu wa Mungu ukawa maskini.

Historia ya wacha Mungu wote ni utajiri. Biblia inathibitisha hilo.
Mkuu@ unaweza kuthibitisha hoja yako kwa Dunia ya Sasa!?
 
Naomba nikujibu kwa fact na sio opinions kama unavyo maanisha
Nitajie mtu mmoja mashuhuri duniani Ambae kwa uewelewa wako unaona kabisa na successful person me or ke alafu nikupe fact
Hatutoki hata nje ya Tz , bakhresa huyo hapo.
 
Acha kutaka kuaminisha watu kuwa kutumia muili kunaweza kumfanya mtu anawiri bila kufanya kazi
 
Mkuu@ unaweza kuthibitisha hoja yako kwa Dunia ya Sasa!?
Dunia ya sasa imejaa waovu wengi ; watu hawamuamini Mungu katika roho na kweli, wengi ni waigizaji tu.

Ukimuamini Mungu katika roho na kweli unatoboa.
 
Akikujibu vizuri, nitag please
 
Hatutoki hata nje ya Tz , bakhresa huyo hapo.
Hahaha hahahha 😂 umekuja kwenye mfano mzuri sana ambao naweza kukujibu majibu Zaidi ya 3000/=

Kwanza Naona kabisa hujui maana ya mafanikio, nikitegemea ungeniambia wewe ndio mtu uliofanikiwa Zaidi kwasababu tunadefine concept ya mafanikio kwa kuzingatia individual level.. niache na hiyo kuwa bado hujielewi.

Unaijuia vizuri historical background ya SSB?? Mimi nimefanya KAZI kwenye viwanda tofauti vya SSB nimeshuhudia kafara za wanyama usiku wa manane za shirki nk
Utaniambia nini??

Tatizo hujui kufananisha kati uchamungu na mafanikio ya wazi
Kwasasa sikujibu tena
 
Na wewe kawe shoga ili ya kwako nayo yawe mazuri
Kinachoonekana ni suala la muda tu utaanza kupumliwa kisogoni bwege wewe badala ya kuwaza kufanya kazi unawaza kuzidiwa kipato na mashoga tukusaidiaje sasa? Jiunge nao ubutuliwe nawe ufanikiwe senge wewe.
 
Anavutiwa na maisha ya kina juma lokole na noeli wa wasafi

Ova
 
Kinachoonekana ni suala la muda tu utaanza kupumliwa kisogoni bwege wewe badala ya kuwaza kufanya kazi unawaza kuzidiwa kipato na mashoga tukusaidiaje sasa? Jiunge nao ubutuliwe nawe ufanikiwe senge wewe.
Nani amewaza kuzidiwa kipato na shoga brother?? Mbona unachekesha
Mbili nimeomba msaada gani kwako au Kuna sehemu nisemema nisaidieni?
Mwisho wa kunukuu msenge ni baba Yako aliekuzaa wewe na kukupachika female hormones mk*ND wako mweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…