Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwaiyo boss Kuna vitu viwili Nimekuelewa moja ni kuwa na akili mbili ni elimu? Kuna mtu anaweza na elimu ila Hana akili?? Na akili ambayo unaizungumzia hapa ni akili gani? Naturally au Ile ya kuwa civilized
Akili ni kile kinachobaki baada ya kutoa Elimu.
Akili mtu Yuko nayo, kuzaliwa nayo. Elimu Kazi yake ni kung'arisha na kuichochea Akili
Ni kama catalyst au tuseme Elimu ni kama enzymes kwenye ubongo